Dwayne Johnson/Kelvin Hart/Shaq O'Neil/Yao Ming

Duh! Hii midubwana hua inakula nini
Ni genes za wazazi ama genetic disorder, ama matatizo ya ubongo kuendelea kuzalisha growth hormone hata kama umefikia kiwango kinachotakiwa.

Sababu kubwa hua ni hizo, urithi ama ugonjwa.

Miaka ile ya nyuma yalikua yamejaa WWE, makubwa kinoma😂.

Mimi ni futi 6.5 najiona nilivyo mkubwa, sasa mijamaa ya 7.6, 7.7 ikoje. Niliemda siku moja pale Sabasaba nikakutana na yule jamaa mrefu anaonekana sana kwenye tv, yuko 7.4 ama 7.5, nikajilinganisha nae nikajiona mdogo.

Anyway, binafsi ningetamani kama ningekua 7 hivi😂.
 
Aisee kina Goliath Bado wanaishi[emoji4]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…