Ulisema hivi
nikakupa takwimu za magoli, Dybala hua anakua-deployed kama false 9 Mara nyingi kwa hio sio tu AM peke ake. Pia takwimu za misimu miwili iliopita kwenye ligi na uefa Dybala ana assists 9 wakati Lukaku anazo 8 kwa michezo 80 kwa 83 respectively. Pia Dybala ana magoli 33 na Lukaku anayo 35 kwa michezo hiyo hiyo. Tatizo hujaangalia seria A ukaona mwenyewe, Dybala jina tu kubwa ila style ya uchezaji hata Martial anamkalisha. Tena madogo wa united wangeenda Italia kwa viwete Kule hiii hi!
Messi hua anacheza kama second striker hiyo ya attacking midfielder alishaiacha muda mrefu, Ronaldo pia hucheza kama second Striker ndomana Barcelona kuna Suarez na Juventus kuna Mandzukic. Tofauti ni kwamba Ronaldo hua hakai katikati/ nyuma ya striker, yeye hukaa pembeni au kati mbele, Messi anatokea nyuma ya main striker na Kulia. Ronaldo na Messi tunawalinganisha influence sio style ya kucheza.