Dybala kutua Tottenham sasa !

Dyabala ni winger sio striker
 
Hii ni chai, I wonder why even with UCL ball they can't attract players. Tears on my eyes
 
Ulisema hivi
Huyu huyu dybala goal scorer wa juventus kabla ujio wa cr7?
nikakupa takwimu za magoli, Dybala hua anakua-deployed kama false 9 Mara nyingi kwa hio sio tu AM peke ake. Pia takwimu za misimu miwili iliopita kwenye ligi na uefa Dybala ana assists 9 wakati Lukaku anazo 8 kwa michezo 80 kwa 83 respectively. Pia Dybala ana magoli 33 na Lukaku anayo 35 kwa michezo hiyo hiyo. Tatizo hujaangalia seria A ukaona mwenyewe, Dybala jina tu kubwa ila style ya uchezaji hata Martial anamkalisha. Tena madogo wa united wangeenda Italia kwa viwete Kule hiii hi!
Messi hua anacheza kama second striker hiyo ya attacking midfielder alishaiacha muda mrefu, Ronaldo pia hucheza kama second Striker ndomana Barcelona kuna Suarez na Juventus kuna Mandzukic. Tofauti ni kwamba Ronaldo hua hakai katikati/ nyuma ya striker, yeye hukaa pembeni au kati mbele, Messi anatokea nyuma ya main striker na Kulia. Ronaldo na Messi tunawalinganisha influence sio style ya kucheza.
 

Muviziaji na mukokotaji ni vi2 viwiri tofauti/mara nyingi huwa wanatofautiana kwa magori mengi. Lukaku anasubiri atengewe kama 2navyoshuudia kwa cr7 kutokana na positions wanazocheza wachezaji hawa wawili lukaku and Cr7, ndio maana halic ya straika. Nadhani mpaka apo umenipata kijana wangu! kwa Meci yeye tofauti na wachezaji wengine, yeye anakokota anafunga na pia anachezesha n.k, awe straika/winga jamaa anawaongozea magoli and assists. Ndio maana ukiaangalia takwimu za mec na cr7, Mec amecheza mechi chache magoli mengi, wakati cr7 amecheza mechi nyingi magoli machache. Bila kusahau cr7 ameanza kucheza soka kabla ya mec.


Dybala, ni Foward/Attacking Midfielder.
Lukaku, ni Straika/mmaliziaji
 

Eti second straika 😁😁😁 all positions messi anakiwasha
 

Mkuu usijisumbue kwa hao EPL fanboys, Ufahamu wao wa Football ni waajabu kabisa
 

Achah ujinga huo, Lukaku ni Striker, Dybala ni Supporting Striker na bado wanakaribiana kwa magoli bado huoni utofauti?
 
Bado naendeleza maombi. Dybala akatae EPL ligi ya ovyo kabisa.

akikosa kwenda Inter bora hata abakie Juventus.
 
Achah ujinga huo, Lukaku ni Striker, Dybala ni Supporting Striker na bado wanakaribiana kwa magoli bado huoni utofauti?
kwahio strongest attribute ya Dybala ni ipi? Misimu miwili assists 9 kwa 8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…