Martin Stephen Mwinuka
Member
- Apr 19, 2018
- 22
- 9
COSTECH ukienda na idea yako wanaweza kusapoti financially?Nadhani kunasehemu kama COSTECH ambazo unaweza kwenda ukaelezea Idea yako na implementation kama ipo ukaonesha. Hiyo itakusaidia kuelezea wazo sehemu nzuri lasiivo ielezee zaidi hapa watu waelewe.
Sawa brotherNadhani kunasehemu kama COSTECH ambazo unaweza kwenda ukaelezea Idea yako na implementation kama ipo ukaonesha. Hiyo itakusaidia kuelezea wazo sehemu nzuri lasiivo ielezee zaidi hapa watu waelewe.
Ya products kama zinazouzwa ebay, amazon, alibaba au jumia.
halo project imefikia wapi, so far do you have any design of your siteNatafuta wawekezaji, watakaoweza kuwekeza na kunipa support(finacially) katika project yangu ya e-commerce ambayo ni yakitofauti ikilinganishwa na makampuni kama kupatana, zoomtanzania ambazo ni kapuni za wazawa kama mimi hapa nchini kwetu. Wenye ushauri au ambao mngependa kujau zaidi. Whatsapp me 0742978209.
hii ni ya muzikiYa products kama zinazouzwa ebay, amazon, alibaba au jumia.
COSTECH ukienda na idea yako wanaweza kusapoti financially?