E-commerce project

E-commerce project

Joined
Apr 19, 2018
Posts
22
Reaction score
9
Natafuta wawekezaji, watakaoweza kuwekeza na kunipa support(finacially) katika project yangu ya e-commerce ambayo ni yakitofauti ikilinganishwa na makampuni kama kupatana, zoomtanzania ambazo ni kapuni za wazawa kama mimi hapa nchini kwetu. Wenye ushauri au ambao mngependa kujau zaidi. Whatsapp me 0742978209.
 
Nadhani kunasehemu kama COSTECH ambazo unaweza kwenda ukaelezea Idea yako na implementation kama ipo ukaonesha. Hiyo itakusaidia kuelezea wazo sehemu nzuri lasiivo ielezee zaidi hapa watu waelewe.
 
COSTECH ukienda na idea yako wanaweza kusapoti financially?
 
Natafuta wawekezaji, watakaoweza kuwekeza na kunipa support(finacially) katika project yangu ya e-commerce ambayo ni yakitofauti ikilinganishwa na makampuni kama kupatana, zoomtanzania ambazo ni kapuni za wazawa kama mimi hapa nchini kwetu. Wenye ushauri au ambao mngependa kujau zaidi. Whatsapp me 0742978209.
halo project imefikia wapi, so far do you have any design of your site
 
COSTECH ukienda na idea yako wanaweza kusapoti financially?

Nadhani, well, inategemea.

COSTECH kwa ufaham wangu mdogo huwa kuna siku za majukwaa na nafasi nyingi za kwenda kuelezea wazo lako mbele ya watu wanaoweza kukusupport financially au kwa kukupa team au uwezo wa kupiga hatua moja katika kuifanikisha hiyo project.

Huwa kuna investors na vichwa vingine vinavyoweka kukupa management nzuri mpaka kufanikisha wazo lako kuwa reality. Pia kuna jamaa wanaitwa Sahara Sparks nao wako vizuri.

Wacheki hapa, www.saharasparks.com wako kwenye organization ya talks zingine soon this year.

Good luck!
 
Back
Top Bottom