E-Fm mnaboa

Kikubwa unaisikiliza muda wote ndio maana unajua inakuboa,kama vip change station au amzisha yako.!
 
Sijui nn kutoka kwetu uswazi kitakuwa kizuri kwenu ......Singeli ndo mziki wa maisha Yetu singeli dunia....na sisi ndo wahuni singeli
 
Iv unapataje muda wa kusikiliza Radio mpaka unajua vipind vinaokuboa,maea singela sijua mambo gan hayo.....inamaana hatuna shuhuri za kufanya kukuweka bize....
 
Miziki ile usikilize peke yako lkn sio ufungulie redio kwa sauti... Mi huwa naona aibu.. Jumbe za singeli hazina mantiki kabisa....Mie pia sipendi...huwa nasikiliza online ila miziki yao ikianza nasitisha
 
Wengine sisi wazee hebu tuelimisheni singeri singeli ndio nini?aiseee uzee kazi
 

Sikiliza Tbc fm
 
Huwo ndiyo Mpangilio wao E-fm ni Mkombozi wa Mziki wa Singeli Kwa Hiyo Radio yao Wameamua Iwe Hivyo..
 
Mi napenda sana na jamaa hao wanafanya biashara na wana sikilizwa sana kwasababu ya hiyo singeli kwa hiyo usiwalazimishe wakimbiwe na wateja.
Wamenifurahisha na kule kwenye TV-E wanayo wanaita...ZAKWETU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…