Clouds nao kipindi cha Leo tena kuna wakati wanaweka singeli I was like wtf is this???
Mzuka wa kusikiliza radio unakuaga unaondoka
Unajiona mjanja mwenyewe kununua tvMimi nilishaacha kusikiliza maredio toka miaka ya 2002,tangu hapo Mimi nanunua TV tu wala sijawahi kusikiliza matangazo ya radio tena.
Ushanunua TV ngapi mpaka sasa hivi mkuuMimi nilishaacha kusikiliza maredio toka miaka ya 2002,tangu hapo Mimi nanunua TV tu wala sijawahi kusikiliza matangazo ya radio tena.
Wataupenda tu.Singeli ni mziki wa taifa
Tune RTD.Nachukia singeli hadi basiii
Mfate KICHEKO kule alikotokomea!Kuna huyu aliyepewa kipindi cha kigenge ananiboa sana tena sana.Kicheko alikuwa anakinogesha kuliko huyu anayepiga kelele kama kakabwa koo.Kila neno analoliongea anaweka neno lake la looooooo! Mpaka nakereka.Kipindi cha kigenge kimepoteza mvuto.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] weka na Picha plzSijaona mahali nitakapotolea malalamiko yangu zaidi ya JF, kiukweli E-Fm sijajua mnalenga nini utakuta mtu unasikiliza kipindi cha maana kabisa asubuhi mara inapigwa singeri!!! Huwa mnatutoa kwenye mood kabisa!! mfano mwingne unakuta mnaweka bongo fleva....mara nyimbo za zamani za dansi mkitoa mnaweka singeri!! yaan hamfanyi vitu kimpangilio...tengeni muda wa singeri ni singeri....bongo fleva ni bongo fleva...singeri asubuhi asubuhi anasikiliza nani?!!!
Mtoa mada kama hutaki SINGELI sikiliza Radio Tz au RADIO ONE mbn wananyimbo unazozitaka so sio lazima usikilize EFM=Sijaona mahali nitakapotolea malalamiko yangu zaidi ya JF, kiukweli E-Fm sijajua mnalenga nini utakuta mtu unasikiliza kipindi cha maana kabisa asubuhi mara inapigwa singeri!!! Huwa mnatutoa kwenye mood kabisa!! mfano mwingne unakuta mnaweka bongo fleva....mara nyimbo za zamani za dansi mkitoa mnaweka singeri!! yaan hamfanyi vitu kimpangilio...tengeni muda wa singeri ni singeri....bongo fleva ni bongo fleva...singeri asubuhi asubuhi anasikiliza nani?!!!
tafuta wimbo unaitwa mida ya kubeti, ndo wimbo ulionfanya nipende singeliMiziki ile usikilize peke yako lkn sio ufungulie redio kwa sauti... Mi huwa naona aibu.. Jumbe za singeli hazina mantiki kabisa....Mie pia sipendi...huwa nasikiliza online ila miziki yao ikianza nasitisha
Mimi na ule wa DULLAH MAKABILA ndio ulinifanya nizidi kuikubali zaidi na hakuna pengine pakuisikiliza singeli zaidi ya E-FMtafuta wimbo unaitwa mida ya kubeti, ndo wimbo ulionfanya nipende singeli
Kwani singeri haipendwi na watu..? Tena kuna hii mpya ya K ni K....Sijaona mahali nitakapotolea malalamiko yangu zaidi ya JF, kiukweli E-Fm sijajua mnalenga nini utakuta mtu unasikiliza kipindi cha maana kabisa asubuhi mara inapigwa singeri!!! Huwa mnatutoa kwenye mood kabisa!! mfano mwingne unakuta mnaweka bongo fleva....mara nyimbo za zamani za dansi mkitoa mnaweka singeri!! yaan hamfanyi vitu kimpangilio...tengeni muda wa singeri ni singeri....bongo fleva ni bongo fleva...singeri asubuhi asubuhi anasikiliza nani?!!!