Neggredo
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 579
- 677
Clouds nao kipindi cha Leo tena kuna wakati wanaweka singeli I was like wtf is this???
Mzuka wa kusikiliza radio unakuaga unaondoka
Ila si wanapiga mda huo tuu ila hawapigi asubuh au jion pia kumbuka kicheko mtata ndo muzee ya singeli ndo maana tokea ahamie clouds huwa katka kile pindi hua singel znapigwa sana