E-Fm mnaboa

Hainaga kudevela devela, show show mwamba!
Machizi boti tunaelewa...nganganga,kazi ya mtu lawama.
 
Acha roho mbaya unataka jamaa waje kula Kwako au wataka warudi mtaani na kuendelea kutukaba kwenye vichochoro?!
Kwani waimba singeli ni malaika hadi wapendwe na kila mtu?

Ninyi wazaramo ndo ngoma zenu za asili mkuu..so keep showing love to singeli and enjoy the show..
 
Singeli mziki wa MASHOGA.
[emoji86] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
eti nini singeli ni muziki wa .............

[emoji30] [emoji31] [emoji31] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kwanza hizo singeli huwa najitahid kusikiliza wanaimba Nn but huwa nasikia kichina tu
 
Mkuu kwani umelazimishwa kusikiliza?utapata ugonjwa wa moyo kwa kukasirikia mambo madogo madogo.
Biashara imekuwa ngumu,wenzio wanaangalia upo wa soko ukoje
 
KIUKWELI MISINGERI INA MIDUNDO YA KISHETANI NDO MANA KICHWA HUWA KINAUMA SANA NIKISIKILIZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…