Kristonsia Nkya
JF-Expert Member
- Jun 24, 2013
- 302
- 292
Uhuru fm kwani kwenu haisikiki??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha roho mbaya unataka jamaa waje kula Kwako au wataka warudi mtaani na kuendelea kutukaba kwenye vichochoro?!Nachukia singeli hadi basiii
Kwani waimba singeli ni malaika hadi wapendwe na kila mtu?Acha roho mbaya unataka jamaa waje kula Kwako au wataka warudi mtaani na kuendelea kutukaba kwenye vichochoro?!
[emoji86] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Singeli mziki wa MASHOGA.
KweliUngewapigia simu ukawaambia ingekua ni busara zaidi!
Taifa LA wanaume wa dar na wake zaoSingeli ni mziki wa taifa
Sipati picha mleta thread kama kasoma hii comment atakuwa kwenye hali ganiweka weka weka mwambaaaaa,
Mkuu kwani umelazimishwa kusikiliza?utapata ugonjwa wa moyo kwa kukasirikia mambo madogo madogo.Sijaona mahali nitakapotolea malalamiko yangu zaidi ya JF, kiukweli E-Fm sijajua mnalenga nini utakuta mtu unasikiliza kipindi cha maana kabisa asubuhi mara inapigwa singeri!!! Huwa mnatutoa kwenye mood kabisa!! mfano mwingne unakuta mnaweka bongo fleva....mara nyimbo za zamani za dansi mkitoa mnaweka singeri!! yaan hamfanyi vitu kimpangilio...tengeni muda wa singeri ni singeri....bongo fleva ni bongo fleva...singeri asubuhi asubuhi anasikiliza nani?!!!