E FM na nyie mgogoro tayari?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Nipo ninasikiliza Radio kituo cha E fm lakini nashangazwa na kutokuwapo hewani kile kipindi chao cha habari michezo cha akina Oscar Oscar,Maulid Kitenge,Maestro.

Toka saa 3 asubuhi hadi sasa saa 5 hakuna kinachojiri zaidi ya michiriku tu na matangazo yao hata Mkude Simba hayupo si kawaida kwa hawa jamaa ukizingatia leo Premier League inaanza huko Uk,kulikoni?

Mwenye fununu atujuze
 
Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa kipindi au redio hiyo ni wazi unafahamu kuwa hicho kipindi huwa cha siku tano tu; Jumatatu hadi Ijumaa! Vinginevyo kichwani mwako ndo kuna mgogoro!
 
EFM toeni majibu ya kueleweka. Clip za mkude mmezipuguza sana Kulikoni? Weka mkude kila dakika kumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…