ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Nipo ninasikiliza Radio kituo cha E fm lakini nashangazwa na kutokuwapo hewani kile kipindi chao cha habari michezo cha akina Oscar Oscar,Maulid Kitenge,Maestro.
Toka saa 3 asubuhi hadi sasa saa 5 hakuna kinachojiri zaidi ya michiriku tu na matangazo yao hata Mkude Simba hayupo si kawaida kwa hawa jamaa ukizingatia leo Premier League inaanza huko Uk,kulikoni?
Mwenye fununu atujuze