jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,901
Baada ya msanii ruby kukorofishana na clouds media ,sasa naona Efm ya jijini dar imeamua kumkwapua na kuzunguka nae sehemu mbalimbali kwa slogan yao ya "tunasepa na kijiji" ambapo kesho watakua kibaha mkoani pwani