E FM : Sport HQ ni kipindi cha matangazo si michezo

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,303
Reaction score
14,983
Wiki hii nilibahatika kusikiliza kipindi Cha michezo Cha asubuhi Hawa jamaa wanatisha kwa matangazo ya biashara

N kweli matangazo yanalipa Kodi na mishahara lakn yasichukue nusu ya kipindi

Unaweza kuta mchambuz anaelezea kitu ch maana lakn katikat ya maelezo utasikia shikilia hapo hapo tutarud hali hii hata msikilizaji anaboreka nakuamuakufungua stesheni nyingne

Mbona mwanzon mlianza vzur matangazo yalipata airtime lakn s kwakufanya kipind kitawaliwe na matangazo

Utafitit wangu mdogo kwa sasa watu wengi wameanza kuzikimbia hiz radio kubwakubwa kutokana na matangazo kuwa mengi kuliko content ambayo mlaji alitarajia kuipata

USHAURI wangu lifanyieni kazi hili maana unakuta hadi hao watangazaji hasa TUNU huwa anajishtukia kwakusahau kuendeleza pale alipoishia kumuhoji mchambuzi kwamuda ambao tangazo limechukua
 
Sikiliza U-live michezo hutajuta achana na vituo vya kamari na matangazo mpaka yanaboa
 
Kwenye Vituo vingi vya redio, michezo ya kubahatisha imekuwa sehemu ya vipindi, huu ni mfumo mpya wa uendeshaji ? Au moja ya udhamini wa vipindi husika ?.
Pascal Mayalla
 
Inakera unakuta mtu anaelezea kitu kwenye point ya msingi ana katishwa , " shikilia hapo hapo tutarudi" baadae wakirudi kasha sahau au kabadili content
 
Hapo kwenye kuyaelezea matangazo ndio inanikera haswa
Mfano huko EFM yupo yule dada Tunu,pale nahisi hicho kitengo cha buku buku kuna asilimia yake,maana unakuta mtu anahojiwa utasikia "tutarudi sasa hivi ngoja tumsikikilize mshindi wetu",imekua upuuzi ndani ya lisaa moja habari za maana ni mbili yaliyobaki yote matangazo,clouds ndio vilevile,wasafi,niliwahi kusikiliza na redio 5 ya Arusha nao wanao upuuzi huu,redio one ipo hii,duuh sikuhizi hakuna vipindi vinavyoshawishi kusikiliza kabisa.
 
Wiki hii nilibahatika kusikiliza kipindi Cha michezo Cha asubuhi Hawa jamaa wanatisha kwa matangazo ya biashara

N kweli matangazo yanalipa Kodi na mishahara lakn yasichukue nusu ya kipindi

Unaweza kuta mchambuz anaelezea kitu ch maana lakn katikat ya maelezo utasikia shikilia hapo hapo tutarud hali hii hata msikilizaji anaboreka nakuamuakufungua stesheni nyingne

Mbona mwanzon mlianza vzur matangazo yalipata airtime lakn s kwakufanya kipind kitawaliwe na matangazo

Utafitit wangu mdogo kwa sasa watu wengi wameanza kuzikimbia hiz radio kubwakubwa kutokana na matangazo kuwa mengi kuliko content ambayo mlaji alitarajia kuipata

USHAURI wangu lifanyieni kazi hili maana unakuta hadi hao watangazaji hasa TUNU huwa anajishtukia kwakusahau kuendeleza pale alipoishia kumuhoji mchambuzi kwamuda ambao tangazo limechukua

Asee kama ulikua upo kwenye kichwa changu. Mimi nitawapigia simu kwenye kipindi chao niwachane.
 
Back
Top Bottom