The Genius
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 822
- 2,095
Hawa jamaa wa E FM kwenye segment ya medani za kimataifa hakuna kitu wana chambua kule.Jamaa atakuambia tuna mengi sana ya kukuambia leo lakini subiri muda wenyewe ufike sasa.
Kipindi kinaanza Saa 11:00AM,lakini wanaweka matangazo wee,mpaka saa 11:30AM ikifika hapo atakuja jamaa sijui wa wapi anaanza kuhadithia matokeo ya mechi za jana kana kwamba mashabiki hatukucheki hizo game,akimaliza atahadithia matukio ya uwanjani then matangazo tena hadi saa 11:45AM.
Wakirudi hapo hakuna cha kuchambua formations za uwanjani, tactics za makocha na patterns za uwanjani,hapo watabishana weee hadi 11:55AM then watamtafuta mshindi millionaire then kipindi kimeisha hivyo.
**********************
Atleast kidogo WASAFI FM tena akiwa AMBANGILE ndio watachambua vzr kwenye medani za kimataifa na kwa mbaaali U FM.
Ukienda kule clouse ni hivyo hivyo,hakuna wachambuzi wa kuchambua mbinu za makocha,mifumo, chemistry za uwanjani n.k wengi wanahadithia matukio na history za hizo timu tu kama kaka yangu mwakyisu na ndugu eddo ambaye anavizia AMBANGILE akianza na yeye anamdakia kwa juu.[emoji23]