E FM Sports HQ, Kimataifa hakuna kitu

E FM Sports HQ, Kimataifa hakuna kitu

The Genius

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2018
Posts
822
Reaction score
2,095
Hawa jamaa wa E FM kwenye segment ya medani za kimataifa hakuna kitu wana chambua kule.Jamaa atakuambia tuna mengi sana ya kukuambia leo lakini subiri muda wenyewe ufike sasa.

Kipindi kinaanza Saa 11:00AM,lakini wanaweka matangazo wee,mpaka saa 11:30AM ikifika hapo atakuja jamaa sijui wa wapi anaanza kuhadithia matokeo ya mechi za jana kana kwamba mashabiki hatukucheki hizo game,akimaliza atahadithia matukio ya uwanjani then matangazo tena hadi saa 11:45AM.

Wakirudi hapo hakuna cha kuchambua formations za uwanjani, tactics za makocha na patterns za uwanjani,hapo watabishana weee hadi 11:55AM then watamtafuta mshindi millionaire then kipindi kimeisha hivyo.

**********************

Atleast kidogo WASAFI FM tena akiwa AMBANGILE ndio watachambua vzr kwenye medani za kimataifa na kwa mbaaali U FM.

Ukienda kule clouse ni hivyo hivyo,hakuna wachambuzi wa kuchambua mbinu za makocha,mifumo, chemistry za uwanjani n.k wengi wanahadithia matukio na history za hizo timu tu kama kaka yangu mwakyisu na ndugu eddo ambaye anavizia AMBANGILE akianza na yeye anamdakia kwa juu.[emoji23]
 
Nilisha acha kusikiliza Football pundits wa Tanzania. Mara chache nawasikia Amri Kiemba wa mawinguni na Ambagile wa wasafi wanajitahidi sana.. Hata yule Shaffih anajitahidi pia edo kumwembe
 
Huku Dubai tunamsikiliza Garry Neville Sana!
 
Wakati Kitenge akiwa wasafi… hiki kipindi kilikua kizuri sana…. Sasa ni kipindi cha matangazo.
 
Huo muda wa kusikiliza redio saa tano mnautoa wapi hongereni,edo ni mwandishi wa makala redio analazimisha
 
Sawa Babu Tale umeeleweka
 
Nilisha acha kusikiliza Football pundits wa Tanzania. Mara chache nawasikia Amri Kiemba wa mawinguni na Ambagile wa wasafi wanajitahidi sana.. Hata yule Shaffih anajitahidi pia edo kumwembe

Nakumbuka Edo Kumwembe miaka ya Nyuma alisemaga Messi akifikisha miaka 26 anaanza kupotea, toka wakati huo nikaanza kuwapuuza hawa wachambuzi uchwara wa TZ
 
Back
Top Bottom