E FM Sports HQ, Kimataifa hakuna kitu

Na lile tangazo la yule Dr. Wa uviko wanalipenda kishenzi.
 
Hata clouds ni Yale Yale wapo shallow Sana kimataifa ....


Kidogo wasafi wanajitahidi , Ambangile anajaribu kudadafua match zote kwa undani
 
Ila wasafi siku ya ijumaa wanakera sana. Yaan wanatumia saa moja nzima kwa matangazo na wageni kifup siku ya ijumaa kipindi Cha michezo n dakika 45 tu

Siku ya ijumaa sishauri msikilize wasafi redio
 
Kwani gef lea siku hizi hayupo E FM maana yule ndo bingwa wa kimataifa Tanzania ambagile hagusi pale.
Tatizo Ni yule Oscar Oscar,hajui kitu halafu anambishia huyo Jeff unakuta Muda mwingi wanaishia kwny kubishana tu.
 
East africa radio wanajitahidi kuchambua
 
Halafu Efm kipindi Cha sports Cha saa moja usiku wamekifuta? Maana huwa ni mziki tu kwa kwenda mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…