E fm yazidi kuwafunika Clouds fm

E fm yazidi kuwafunika Clouds fm

Nimenunu ki simu kidogo kwa ajili ya kusikiliza E FM popote niwapo kwenye shughuli zangu.Hiyo ndo habari ya town.
 
Shika Adabu yako! Heshimu Makabila ya Wenzio. Sio kila la Hovyo ni la wanyamwezi.
Haha haa...mkubwa umepaniki bure. Ukisikia mtu anasema 'ya kinyamwezi' hamaanishi wanayamwezi wa Tabora bob. Kinaymwezi=kimarekani.
 
Nifafanulie mkuu.
Ni kuwa maulid kitenge alipewa dili la kutangaza la liga kwa kiswahili so amewachukua n kuwapa shavu oscar n ibrahimu masoud ambao wanapokezana wanaeda makao makuu ya dstv south afrika n uwa wanatangaza mechi za la liga ukitaka kuwackiliza bonyeza language kwny remote ya dstv chagua swahili
 
  • Thanks
Reactions: Lee

Asante sana mkuu.
 
Kweli za kuambiwa changanya na zako, hivi kweli Clouds uifananishe na E.fm kweli ??? Labda kama mnaongelea kuja kwa kasi lakini si kuifikia Clouds hata kidogo. Ni kweli Clouds wanamapungufu yao kama zilivyo Redio zote TZ kama si Dunia nzima, hasa linapokuja swala la matangazo ni too much,ni kama walivyo E.fm kuwa na muda mreeeeeeeefu wakiongelea michezo. ( sio watu wengi wanapenda hivyo) Clouds kwa sasa inasikika karibia nchi nzima,wakati hiyo E.fm ni Dar tu.
Ishu c kukapatikana Tz n tunaongelea ubora wa vipindi n usikilizwaji wa vipindi kwa dar e.fm ameshatake over the market clouds haikamati Tz nzima ungesema Rfa sawa
 
Kwa kipimo kipi unachotumia wewe........( kama sio hisia) na sijasema kwamba inasikika TZ nzima, ila nimesema karibia TZ nzima
 
Ifike mahala sasa tuache kuchukua maoni na mitazamo ya Watu wa Dar ndio mitazamo ya Watanzania wote. Hiyo Radio inasikika kwa Dar na ni vema useme inakubalika na Wa Dar hapo hapo na Ila Clouds ni Tanzania nzima..Sijui umetumia vigezo gani?
 
Xxl nacho kinaelekea kupotea,, hawako siliasi story nyingi kipindi hakieleweki ,,sijui watu kuwa wengi make mpaka wanaboa
 
Shika Adabu yako! Heshimu Makabila ya Wenzio. Sio kila la Hovyo ni la wanyamwezi.
We Wa wapi wewe!? Umezaliwa 2010 nini!? Unadhani USA kunaitwa Unyamwezini kwa sababu kuko hovyo!? Au mtu akiitwa Mnyamwezi unafikiri anadhihakiwa!?
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Ifike mahala sasa tuache kuchukua maoni na mitazamo ya Watu wa Dar ndio mitazamo ya Watanzania wote. Hiyo Radio inasikika kwa Dar na ni vema useme inakubalika na Wa Dar hapo hapo na Ila Clouds ni Tanzania nzima..Sijui umetumia vigezo gani?
Clouds haikamati Tz nzima
 
Ifike mahala sasa tuache kuchukua maoni na mitazamo ya Watu wa Dar ndio mitazamo ya Watanzania wote. Hiyo Radio inasikika kwa Dar na ni vema useme inakubalika na Wa Dar hapo hapo na Ila Clouds ni Tanzania nzima..Sijui umetumia vigezo gani?
Kwa nini lakini hamsomi thread vizuri mkaielewa? Haya kasome tena thread ndio uje kureply hapa
 
Back
Top Bottom