e-GA inahujumiwa

Nipo ndani ya hii industry kuliko unavyodhani na nishafanya kazi serikalini na private gap lao ni mbingu na ardhi vi system vyako unatumia codeignitor na laravel ndo unataka kutisha watu
 
bahati mbaya sana hujataka kuangalia e-GA wanachokifanya , wana produce best software na nina uhakika una image ya mifumo ya serikalini miaka 10 iliyopita huna experience latest ya mifumo ya serikali
eGA ibakie regulator tu sio developers...I support the move
 
Nipo ndani ya hii industry kuliko unavyodhani na nishafanya kazi serikalini na private gap lao ni mbingu na ardhi vi system vyako unatumia codeignitor na laravel ndo unataka kutisha watu
Uzuri nishafanya kazi karibia na taasisi zote za kibank, za mawasiliano na kiserikali, ila kwa Serikali Mtandao wapo tofauti sana na hata huko sekta binafsi hamna maajabu yoyote, kuna maIT TRA,BOT,TPA wapo vizuri sana kuliko hata huko sekta binafsi.

Halafu mimi sio coder japo,Coding najua.
 
Very unfortunate tuna watu ambao wako programed kupinga kila agenda
Maswali ya mwenye akili kujiuliza
1.Kama e-GA hana uwezo NMB ana uwezo?
2.NMB ametengeneza mifumo ipi ukiacha nmb mkononi kama proof of concept?
3.NMB mifumo yake mikubwa yaan core banking system haijatengenezwa na vijana wa NMB ni proprietary system
4.Kama ESB/X-Road system iliyopo e-GA haifai ya NMB ipi inayofaa ambayo wamewahi kutengeneza
5.Kama kuna ulazima basi wangetangaza tender ya wazi ili CRDB na wengine nao wabid
6.NMB sio software development company ni banking company inakidhi vigezo vipi kupewa utengenezaji wa mifumo hio ya serikali?

NMB sio software dev company , kwa nini wanachukua majukumu hayo?
Tunafahamu e-GA mnataka kuiua basi tangazeni tender ya wazi kampuni zichukue tender
 
hakuna na haiwezi tokea [emoji23] [emoji23] [emoji23] , MICROSOFT imejikita zaidi kwenye personal computers na sio Enterprise! kwenye Enterprise kuna ligi tafauti microsoft hayupo uko! have you ever herd of LINUX? ORACLE?

Actualy microsoft yupo pia kwenye enterprise business, tofauti ni kuwa soko lake haliko tz, mostly wanaotia enteprise services za microsoft wanatokea US na europe kwa asilimia kadhaa, no disrespect kwa giants wengine walio kwenye ushindani
 
Actualy microsoft yupo pia kwenye enterprise business, tofauti ni kuwa soko lake haliko tz, mostly wanaotia enteprise services za microsoft wanatokea US na europe kwa asilimia kadhaa, no disrespect kwa giants wengine walio kwenye ushindani

ok then tuambie soko la enterprise la microsoft liko wap? na pia utuambie kampuni gan yenye market cap ya zaidi ya hata bil 100 inaojihusisha na enterprise market kwa ukubwa ukiachana na oracle
 
ivi kwani hamna system ya nchi imekaa wapi mpaka nchi inachezewa hivi?
 
hakuna na haiwezi tokea πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , MICROSOFT imejikita zaidi kwenye personal computers na sio Enterprise! kwenye Enterprise kuna ligi tafauti microsoft hayupo uko! have you ever herd of LINUX? ORACLE?
Bingwa hebu kafanye research zaidi halafu ulete mrejesho
 
Asante kwa mchango wako wa kisiasa
Japo hii mada ipo kwenye jukwaa lenu lakini inahitaji ufahamu wa mifumo ya TEHAMA sio perepete za wajumbe
 
Sheria irekebishwe
walichotakiwa kufanya akina Nape na wenzake ndicho hicho,walitakiwa wapeleke mswaada bungeni wa marekebisho ya sheria ya e-GA , itakayoruhusu taasisi binafsi kuunda mifumo ya serikali period.Hizi zinazofanyika ni ngonjera za kisiasa
Na nikuhakikishia akiingia waziri mwingine ata reverse hio MOU
 
Digital transformation work group ama kikosi kazi cha mabadiriko ya kidigital tunaelezwa wajumbe wameburuzwa kwenye maamuzi ya kushauri NMB apewe tender
 

Attachments

  • kikosikaziDGWG.jpeg
    83.3 KB · Views: 4
wewe lazima ni pumguwani.
 
Bingwa hebu kafanye research zaidi halafu ulete mrejesho

kwahio unaona nafanya comedy apa, ebu zitaje izo enterprise za microsoft! usianze mambo ya microsoft word sjui azure, taja sehem ambayo microsoft bila uwepo wao kuna pengo
 

kwan mkuu we si unafanya kazi ambayo hujasomea chuo pia πŸ˜‚
 
Kile kile kilichoifukuzisha Selcom kinaenda kutokea NMB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…