e-GA inahujumiwa

Home Work.
Hivi kitu gani kina tambulisha huo mfumo Registrar wake fulani, ila umekuwa hosted na mtu mwengine.

viko vitu vingi however sio lazima DNS records ziseme ni nani anahost, most modern apps znnakua na layer 2! kwa mfano for a normal platform its very risky kuexpose connection yako moja kwa moja kwa client so wanaogeza layer ingine most common ones ni kama CLOUDFLARE so ukiiangalia records zake utaona cloudflare but hio app haiko hosted apo

but overalll nshakwambia NECTA wanatumia EGA because i have been there, although sjawahi work na necta but i have seen it na mifumo yote ya serikali ipo pale!

huu ni mfano tu wa project tuliofanya ya serikali ambayo iko hosted EGA, so usijifanye unaelezea sana kama unaijua EGA vizuri
 
Yaani sasa utazungumziaje DNS SERVER bila kuzungumzia protocols yake......?

Hujanibu hapa.

Home Work.
Hivi kitu gani kina tambulisha huo mfumo Registrar wake fulani, ila umekuwa hosted na mtu mwengine?
 
kingine na cha mwisho:
Theory doesnt work duniani, as much as you will have to read ni vitu viwili tafauti, unatoa maelezo mengi ni kama bado huna uelewa sana wa haya mambo!

- in simple words a NAMESEVER ndo host wako! there are times sio lazima iwe true but ndo iko ivo
 
Kupitua WhoIS kama una knowledge ya security unaweza kujua Registrar na aliye host na wala huitaji command yoyote just your Internet connection inatosha.

Wewe hujui sababu bado mchanga kwenye eneo hilo.
 
Yaani sasa utazungumziaje DNS SERVER bila kuzungumzia protocols yake......?

Hujanibu hapa.

Home Work.
Hivi kitu gani kina tambulisha huo mfumo Registrar wake fulani, ila umekuwa hosted na mtu mwengine?

i think itoshe kusema una safari ndefu, mengine utakutana nayo umo umo!
 
Uzuri mimi IT ya chuo niliachana nayo,ila Udemy inenikomaza na maIT wa TTCL.Hayo maelezo mbona madogo sana.
 
Kupitua WhoIS kama una knowledge ya security unaweza kujua Registrar na aliye host na wala huitaji command yoyote just your Internet connection inatosha.

Wewe hujui sababu bado mchanga kwenye eneo hilo.
oooh πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ! anyway NECTA is hosted on EGA na sio necta tu hata mfumo wa ikulu umo huko na mashirika mengine mengi, anything apart from that its non sense
 
oooh πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ! anyway NECTA is hosted on EGA na sio necta tu hata mfumo wa ikulu umo huko na mashirika mengine mengi, anything apart from that its non sense
Nonsense kama hiki ulicho kiandika,maana ww mwenyewe hata unavyo viandika huvijui. Jifunze kutofautisha kuhost mfumo,kumiliki mfumo na kuwa Registrar wa mfumo.
 
Uzuri mimi IT ya chuo niliachana nayo,ila Udemy inenikomaza na maIT wa TTCL.Hayo maelezo mbona madogo sana.

sio kukomaa yaani unatakiwa sjui uende field maaana kuna itu basics kama DNS, NAMESERVERS yaani ivi vitu mtu akiviongea havihitaji maelezo unatakiwa uelewe anamaanisha nn:

kwa mfano nkikwambia nameservers za NECTA ni hizi chap chap unatakiwa uwe ushajua nasema hosting ya necta ni hii sasa wewe unakomaa kutoa maelezo mengi
 
Sasa TTCL si ndio field yenyewe, hivi unajua TTCL ni moja ya taasisi inayotoa Watu bora wa IT,ambao hizo taasisi binafsi huenda kuwa panda dau.Taasisi binafsi haiwezi kukupa dau kubwa kama practically upo shallow na TTCL wapo watu kibao,japo mnawa dharau ila hata huko sekta binafsi kuna product kibao

Halafu DNS sio kuiongelea mpaka kucreate nipo vizuri sema sasa hivi nipo field nyingine ya IT.

Nimekuambia hayo maelezo ni madogo, kuna tofauti ya jibu la mwanafunzi na mtu aliyekuwa field.
 
mambo yasiwe mengi sio shule apa
 
Yale yale unazidi kutoa maboko,huoni hiyo domain Necta wana Host wenyewe.

Sina haja kukujibu tena.

Narudia tena kama kitu hukijui kaa kimya.
we umeona tu Registar??? anyway kama nlivosema sio shule apa, ulicho nacho kichwan utaamua mwenyewe kama ni sahihi ama ubishi!
 
Attachments

  • 1706544538100.png
    6.5 KB · Views: 3
we umeona tu Registar??? anyway kama nlivosema sio shule apa, ulicho nacho kichwan utaamua mwenyewe kama ni sahihi ama ubishi!
Kwa kukusaidia maana hata idea za security huna moja ya first step ya mtu wa security ni kukusanya taarifa.

Zichukue hizo IP then andika kwenye browser yoyote "What is my IP ....." mmiliki atakeye kuja ndiye anaye ihost hiyo domain.

Ichukue hiyo inaweza kukusaidia,kama utakuwa interested na IT Security,ukibisha na hapo basi walimu wanao kufundisha wana kazi sana huko mavyuoni.
 
ok sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…