stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
DNS ni protocol tcp port 53 ambayo kazi yake kuimapp IP Address na neno ambalo binadamu rahisi kulikumbuka,sababu IP Address ina contains long numbers ambazo binadamu hawezi kuzikumbuka. DNS ni server ambayo inakuwa kama file lenye list ya domains name and their corresponding mapped IP address.
Ambayo husaidia Web Applications ziwe rahisi,kukumbukwa mfano jamiiforum.com ukiiresolve unakuja kupata IP yake ambayo imekuwa mapped nayo kwenye DNS.(Hii ni basic knowledge ya IT yyt anatakiwa kuijua).
Hivi unajua maana ya kuwa host mfumo kuwa Registrar wa mfumo? Unaweza kuwa Registrar wa mfumo fulani na usihost huo mfumo.
Home Work.
Hivi kitu gani kina tambulisha huo mfumo Registrar wake fulani, ila umekuwa hosted na mtu mwengine.
Ukishindwa mtafuta hata Eli the Computer Guy ana video zake kibao Youtube maana Udemy kule na hela.
Narudia tena kama kitu hukijui kaa kimya huto pungukiwa kitu. Mimi kwenye baadhi ya forum za Uchumi na Historia hasa za matukio makubwa huwaga sipendi kuchangia sababu sina ufahamu mzuri kwenye hizo field.
So brother huna unacho kijua.
Home Work.
Hivi kitu gani kina tambulisha huo mfumo Registrar wake fulani, ila umekuwa hosted na mtu mwengine.
viko vitu vingi however sio lazima DNS records ziseme ni nani anahost, most modern apps znnakua na layer 2! kwa mfano for a normal platform its very risky kuexpose connection yako moja kwa moja kwa client so wanaogeza layer ingine most common ones ni kama CLOUDFLARE so ukiiangalia records zake utaona cloudflare but hio app haiko hosted apo
but overalll nshakwambia NECTA wanatumia EGA because i have been there, although sjawahi work na necta but i have seen it na mifumo yote ya serikali ipo pale!
huu ni mfano tu wa project tuliofanya ya serikali ambayo iko hosted EGA, so usijifanye unaelezea sana kama unaijua EGA vizuri