e-GA inahujumiwa

Baada ya utafiti wangu na kujiridhisha wewe ni nani , nikiri kuwa wewe ni mtu mzuri na mzalendo sana,bahati mbaya sana hauko properly informed lakin ni mtu mzuri sana tena sana , na nimeshangaa kwa nini ulikua una oppose hoja zangu lakini nimeelewa kwa nini ulifanya hivyo .
 

mm au wewe? mm nmetoa in and out zote kwa navoifaham EGA wewe ukaja na comedy zingine
 

Waziri mwenyewe Nape Nauye??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ubovu wa mifumo ya e-GA upo sehemu gani mkuu
 
eRITA ipo stable 100% na haiko integrated na mfumo wowote binafsi.
 
Hiyo 60% huoni inamilikiwa na watu/taasisi binafsi na ni hatari kwa usalama wa nchi?
60% inamilikiwa na wanahisa wadogo wadogo kibao so hawahusiki kwenye day to day activities za kampuni wao wanasubiri vikao tu. Major shareholders ndio pekee wana uwezo wa kuwa na nguvu kuinfluence management decisions au kuhandle confidential info.

Kingine kama issue ni usalama wa nchi kwani hao eGa hizo computer na network infrastructure wanazotumia zimetengenezwa Tanzania? Achilia mbali Internet service providers na firewalls/Cybersecurity systems wanazotumia zimeundwa bongo?

Kama issue ni usalama basi infrastructure yote iundwe bongo sio software bongo ilihali hardware yote inatoka kwa hao hao unaowaogopa!!
 
eRITA ipo stable 100% na haiko integrated na mfumo wowote binafsi.
CAG performance report ya 2022 has other ideas? Hakuna mfumo bongo hii upo stable and impenetrable tuache kuwapa sifa wasizostahiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…