e-GA inahujumiwa

e-GA inahujumiwa

eti nn 😂 😂 😂 , EGA hawako pale kwa ajili ya integration bali mifumo ya serikali inakua hosted pale, nmetengeneza mifumo kadhaa ya serikali na confidently naweza kukwambia EGA is the worst of the worst, yaaani ni MVP wa worst taasisi
Baada ya utafiti wangu na kujiridhisha wewe ni nani , nikiri kuwa wewe ni mtu mzuri na mzalendo sana,bahati mbaya sana hauko properly informed lakin ni mtu mzuri sana tena sana , na nimeshangaa kwa nini ulikua una oppose hoja zangu lakini nimeelewa kwa nini ulifanya hivyo .
 
Baada ya utafiti wangu na kujiridhisha wewe ni nani , nikiri kuwa wewe ni mtu mzuri na mzalendo sana,bahati mbaya sana hauko properly informed lakin ni mtu mzuri sana tena sana , na nimeshangaa kwa nini ulikua una oppose hoja zangu lakini nimeelewa kwa nini ulifanya hivyo .

mm au wewe? mm nmetoa in and out zote kwa navoifaham EGA wewe ukaja na comedy zingine
 
Miezi takribani sita imepita niliandika juu ya njama za viongozi waandamizi wa serikali kuihujumu mamlaka ya serikal mtandao(e-GA). Mipango ya e-GA kuzuiwa kufanya majukumu ya uundaji wa mifumo ya serikali ili waandamizi watafute kampuni binafsi kufanya hayo imeanza kufanikiwa.

Leo Wizara ya TEHAMA imeingia makubaliano na NMB ili NMB iwe inalipwa na serikali kutengeneza mifumo ya TEHAMA ya serikali.

Kwa mujibu wa MOU iliyo sainiwa leo , NMB atatoa wataalamu wa TEHAMA(Software developers) kutengeneza mfumo utakao replace NIDA na RITA ,kama mnavyofahamu ,serikali inakuja na jamii number ,namba ambayo mtoto akizaliwa atakuwa nayo na atakua nayo ,initiative nzuri sana lakiniiiii, kulikua na ulazima gani wa mradi nyeti kama huu kupewa taasisi binafsi? wafanyakazi wa NMB wana proper vetting kuanza kushika mifumo ya siri namna hii?

Achana na jamii bima, ESB ambayo tayari ipo e-GA na inafanya kazi, Wizara ya TEHAMA imeamuru NMB kupewa tender kupitia MOU hio wao ndio watengeneze ESB ya serikali, yaani mawasiliano ya mifumo yote ya serikali ananyang'anywa e-GA na anapewa NMB why?

Hivi nchi hii tuna mawaziri wanaofikiria kweli? Haya ndio mambo ya waziri alikuja na kufuta physics akasema iwe physics with chemistry, waziri huyo wa zamani alifuta masomo ya biashara na kilimo pia kabla ya serikali ku reverse maamuzi hayo, lakini kama mnakumbuka kuna watanzania walifutiwa masomo hayo.

Waziri wa TEHAMA unaua e-GA kwa maslahi ya nani?

Waziri wa TEHAMA unaua e-GA kwa kumkomoa nani?



View attachment 2883959

Waziri mwenyewe Nape Nauye??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
eti nn [emoji23] [emoji23] [emoji23] , EGA hawako pale kwa ajili ya integration bali mifumo ya serikali inakua hosted pale, nmetengeneza mifumo kadhaa ya serikali na confidently naweza kukwambia EGA is the worst of the worst, yaaani ni MVP wa worst taasisi
Ubovu wa mifumo ya e-GA upo sehemu gani mkuu
 
Nitacommeny kitaalamu maana ni tasnia yangu.
Kwa Tanzania IT wa mashirika binafsi na wa serikalini ni mbingu na ardhi.
IT wanatengeneza system mbovu kuanzia user interface, nzito kuload na withoutdated technology.
Nitajie mfumo wowote wa serikali usiointegrate na private sector ulio stable.
eRITA ipo stable 100% na haiko integrated na mfumo wowote binafsi.
 
Hiyo 60% huoni inamilikiwa na watu/taasisi binafsi na ni hatari kwa usalama wa nchi?
60% inamilikiwa na wanahisa wadogo wadogo kibao so hawahusiki kwenye day to day activities za kampuni wao wanasubiri vikao tu. Major shareholders ndio pekee wana uwezo wa kuwa na nguvu kuinfluence management decisions au kuhandle confidential info.

Kingine kama issue ni usalama wa nchi kwani hao eGa hizo computer na network infrastructure wanazotumia zimetengenezwa Tanzania? Achilia mbali Internet service providers na firewalls/Cybersecurity systems wanazotumia zimeundwa bongo?

Kama issue ni usalama basi infrastructure yote iundwe bongo sio software bongo ilihali hardware yote inatoka kwa hao hao unaowaogopa!!
 
eRITA ipo stable 100% na haiko integrated na mfumo wowote binafsi.
CAG performance report ya 2022 has other ideas? Hakuna mfumo bongo hii upo stable and impenetrable tuache kuwapa sifa wasizostahiki.
 
Back
Top Bottom