e-GA inahujumiwa

Wahindi wanachukua tender kwa bei kubwa then wanawapa tender wabongo kwa hela ndogo. Wahindi ni makanjanja tu kwenye tech.
Not true

Wabongo ni more expensive - labda kama wanapeleka India na Nepal
 
Hivi unadhani Magufuli kumtumbua nape ilikua ni chuki binafsi yule mzee aliona mbali nape anachokijua ni bao la mkono na kucheza Golf tu maslahi ya Taifa hakuna kwake kila mtu ajitafutie maslahi yake.
 
Akiingia mtu anayeelewa unyeti huo akitumia smartness, NMB itachukuliwa na serikali. Labda ndiyo wanaanza taaribu kuichukia NMB!!! Vinginevyo, MoU yaweza kuvunjwa. Nawaza kikapuku!!!
 
Naongezea kwanini namba nyingi za "tuma kwa namba hii" ni za TTCL?
 
majasusi wa kigeni hutafuta loope holes za kuingiza watu wao kwenye maeneo nyeti ya serikali ,
Kuingiza majasusi hakutegemei kampuni ni private au public. Mbona mkuu wa majeshi kasema huko serikalini wamejaa wageni ilihali sio kampuni binafsi. So majasusi wanaweza kuwepo e-Ga as much as wanaweza kuwa NMB

Kingine kama ambavyo mataifa hutafuta loophole basi pia FIU,FCC,TISS n.k hutafuta loophole kuweka counter intelligence ring ndani ya hizo taasisi. So kama CIA wakiweka mtu basi amini pia FIU watapandikiza mtu.
Kwamba NMB kesho wanaambiwa watengeneze mfumo wa NEC kumanage kura za nchi na wewe unakenua meno unachekelea tu?
Ndio, mbona tunaprintiwa karatasi za kura kutoka nje ya nchi ndio sembuse mfumo wa NEC!! mbona Kenya wanenunua mfumo kutoka Venezuela na hawakuweza ingilia uchaguzi. Tuache uoga uoga wa kitoto dunia nzima private sector driven economy ndio zimetoboa nyie mmekalia uoga tu.

Sasa turudi huko serikalini ndio kuna malaika? Mbona kila siku kura zinaibwa, karatasi feki zinaprintiwa, maboxi ya kura kupatikana kabla ya siku ya uchaguzi n.k. So kama NEC ipo incompetent tuing'ang'anie kisa usalama ambao hata sasa haupo? Nasema hivi sio tu Dp world ila hata huko TRA kazi wapewe deloitte n.k ndio tutaona mabadiliko ya utendaji hizi tabia za ujamaa haziwezi kutupeleka kokote.
Waziri wa TEHAMA amesha kula pesa NMB amewapa tender ili apate pesa za kampeni za uchaguzi wake mwenyewe sasa nakuambia siku zenu zinahesabika huu ni ujinga na uzalendo wa kijuha
Waziri anaingiaje hapa wakati NMB ilishafanya miradi kibao na e-Ga? Kama ni ufisadi CAG aliona wizi huko e-Ga wa mamilion kwa kigezo cha feasibility studies, proposals etc so kma kigezo ni usafi then e-Ga is worse na wamekula fedha zaidi.
 
Ni kitu gani kwenye mfumo mzima unachotengeneza ambacho wao hawakijui, technology ni yao vifaa ni vyao halafu unajidai na lipi?
 
Kiufupi it's easier to breach data za TTCL kuliko Vodacom as it's easier to hack e-Ga than NMB!! competence private sector ni ten fold ya serikali
Unaposema majority shareholder holder ni serikali wakati huo huo unasema security ya NMB ni Kali kuliko ya e-GA na TTCL ambavyo ni vyaserikali....sikuelewi kabisa!!!

Tengeneza vizuri kebehi yako kwa mashirika na Mamlaka za serikali ueleweke, Nia ovu yako iwe wazi.
 
kuiua e-GA zimeanza muda na ndio maana hata hio audit report uliyo quote ilikua part of the big plan ,ili wanasiasa waje waseme e-GA hawana uwezo .
CAG akisema kuna ufisadi serikalini mnamuunga mkono ila akisema e-Ga is incompetent by facts mnasema katumwa!! Sasa ndio nini hiko? Kwamba anakua mzuri tu akisema TPA kuna ufisadi ila akisema e-Ga kwa kuwa ni malaika hawakoseagi basi katumiwa kisiasa? Duh. Mbona vielelezo kaweka na ripoti nimeshaipost humu kaisome utaona hao e-Ga ni weupe.
Kama kweli e-GA angekua hana uwezo lingetafutwa kampuni ambalo kazi yake ni kutengeneza software ,yaani NMB ambaye kazi yake mama ni kutunza pesa na kuuza pesa unampa kazi kubwa ya kutengeneza mifumo ya nchi ?
Ndio nauliza kama kampuni ambayo serikali ina hisa zaidi ya 34% hamuiamini je ungeiamini kampuni gani?

Kingine nimekwambia NMB inatoa huduma mpaka za Cloud storage maana ina data center za kisasa pia. Kama inaweza hudumia miamala ya kielectronic nchi nzima watashindwa kuunda mfumo? Usikariri, hao NMB wamewasaidia e-Ga miradi kibao tu

Cha ajabu wewe ndio unaumia ilihali e-Ga ndio walitangaza kufanya kazi na NMB. Tuache ushamba, hata TRA inatunza data zake huko TTCL mbona hamuongei?
 
Unaposema majority shareholder holder ni serikali wakati huo huo unasema security ya NMB ni Kali kuliko ya e-GA na TTCL ambavyo ni vyaserikali....sikuelewi kabisa!!!
Serikali ni partly mmiliki ila ajira n.k ni za private sector sio utumishi wa umma hivyo competence level ni juu. Niambie taasisi gani ya serikali ina perform vizuri kuliko taasisi ya private!!

Kingine aliyesema usalama upo chini sio mimi ni CAG (2023) kasema hao e-Ga huwa hawafanyi hata vulnerability checks kuona kama mfumo unaweza dukuliwa!! Sasa kama bare minimum tu hawawezi utalinganisha na NMB?

Hoja nyingine ni kwamba, kama hawaiamini NMB ambayo serikali ni partly mmiliki atamuamini nani mwingine? Microsoft? Amazon? Multichoice?
 
kama mtu naeijua EGA vizuri naweza nkaconfirm they have the worst service, ulishawahi kupewa shared hosting bila cpanel? sasa ndo EGA hao, sjui ata nani anasmamia hawa jamaa ila anatakiwa ajiuzulu mda mrefu sana
Huijui e-GA ,wewe mganga njaa umetumwa na wazee wa 10%
Yaani mzalendo wa kweli aruhusu mifumo ya serikali iendeshwe na NMB?
Nyie mnatakiwa na wazee wako kukiri mmepuyanga
 

aliyetangaza hata na e-GA?
 

Attachments

  • 1706427270738.png
    438.7 KB · Views: 6
wewe ni mbumbumbu wa taaluma ya TEHAMA,kwa hio ukiona audit query unaona ni udhaifu?
CAG akikosa evidence anaweka audit finding ,mara ngap CAG anatoa report na watu wanatafuta evidence na kutoa?
pia unatakiwa ujue kwamba e-GA ime improve sana e-GA ya 2015 sio sawa na ya 2024 ,.
unakomalia e-GA utadhani core banking ya NMB ametengeneza developer wa NMB , hio mifumo ya NMB core system haijatengenezwa na watoto wa NMB .
tatizo rushwa imekupofusha
 

Attachments

  • 1706427491081.png
    436.2 KB · Views: 5
Thank you

Hoja ni uhitaji wa mfumo au la

Alipoingiza hujuma ikaleta bias
Rushwa ya wazee wenu akina Nape inawafanya msione ukweli
kwa hio niambieni ni lini waziri wa Ofisi ya Rais Utumishi ambaye e-GA ipo chini yake aliwahi kuwa engaged na akina Nape na wenzake ili kuona e-GA ESB yake haitoshi mpaka wakawaombe NMB watengeneze?
yaani waziri wa TEHAMA kaingilia wizra nyingine kuiamulia majukumu yake , nyie mnaona kawaida kwa kua ni wanufaika wa rushwa iliyotembea
Nimekuwekea sehemu ya sheria ya e-GA inayotoa mwongozo kwa yeyote serikalini anayetaka kuanzisha utengenezaji wa mfumo nini afanye .
Akina Nape wamefuata hayo?
Leo wameanza na NMB kesho wataita kampuni ya wamarekani waje wasambaze hadi mailing system za serikali .
Tuna watu mnaojifanya mnajua IT kumbe ni bush lawyer wa IT.
Una akili timamu una support mifumo ya serikali ikabidhiwe taasisi binafsi ili ule 10%
 

Attachments

  • e-GA1.png
    68.3 KB · Views: 2
Pole sana, wewe ndio hujui kusoma na kuandika. Soma hapo uone NMB inavyoingia!!

Nilidhani ni mtu makini kumbe unapotosha!! Hizo sheria ulizoweka humo zimempa waziri mamlaka makubwa mnoo ikiwemo hata kumfutia mtu gharama zozote akipewa huduma na e-Ga!! Yaani afanyiwe kazi bure kabisa.

Ooh Utasema eeh ni lini e-Ga walimshauri waziri au kuridhia partnership hiyo.

Una hoja nyingine?
 
kijana unaweza kuwatetea mpaka kesho wazee wako wanaouza serikali kwa sasa na kumchafua Rais makusudi lakini hutoeleweka
Mzee wako Nape hajui IT ,kazi yake kutia saini tu , hajui kama ESB imeshatengenezwa e-GA , na hajui kama kuna watu morogoro wanatengeneza Jamii Number system ,anapuyanga kuuza siri za nchi NMB.
 

Attachments

  • e-GA1.png
    68.3 KB · Views: 6
Nape mdogo sana kwangu

Nipe heshima yangu
 
tofautisha Kushirikiana na kusain MOU ,MOU ni kubwa kuliko mashirikiano ya mezani
unaposaini kukabidhi mifumo mama ya serikali kwa NMB ambayo core service zake sio kutengeneza mifumo unamaanisha nini hasa?
unakanyaga taratibu za serikali kwa upofu wa rushwa?
Nape anakabidhi mfumo NMB wa jamii number ambao ndio mzizi wa uraia wa mtanzania na passport za watanzania wote kweli? ivi wewe unajua National security act? Nape na wenzake wame commit treason
Sasa inawezekana naongea na mtu ambaye ni native civilian huwezi kunielewa
Nape anajua ametenda kosa kubwa sana ambalo kwa Rushwa ameamua kuwa kipofu.
Unaweza kuwapa NMB na marafiki zako tender ya kutendeneza portal za kawaida kama unawapenda sana ,sio kuwapa mfumo unaoshikilia taarifa za siri za watanzania .

Waqpe marafiki zako mifumo watengeneze kwa kua unawapenda sana ,lakini huwezi kukaa kuuza mifumo ya siri za mapato ya serikali kwa marafiki zako.
 
Bado hujasema sheria ipi inampa mamlaka Nape Godfather wako kuipa tender NMB ya mifumo ambayo ipo tayari e-GA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…