Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM mbere kwa mbeereeeeeeMiezi takribani sita imepita niliandika juu ya njama za viongozi waandamizi wa serikali kuihujumu mamlaka ya serikal mtandao(e-GA). Mipango ya e-GA kuzuiwa kufanya majukumu ya uundaji wa mifumo ya serikali ili waandamizi watafute kampuni binafsi kufanya hayo imeanza kufanikiwa.
Leo Wizara ya TEHAMA imeingia makubaliano na NMB ili NMB iwe inalipwa na serikali kutengeneza mifumo ya TEHAMA ya serikali.
Kwa mujibu wa MOU iliyo sainiwa leo , NMB atatoa wataalamu wa TEHAMA(Software developers) kutengeneza mfumo utakao replace NIDA na RITA ,kama mnavyofahamu ,serikali inakuja na jamii number ,namba ambayo mtoto akizaliwa atakuwa nayo na atakua nayo ,initiative nzuri sana lakiniiiii, kulikua na ulazima gani wa mradi nyeti kama huu kupewa taasisi binafsi? wafanyakazi wa NMB wana proper vetting kuanza kushika mifumo ya siri namna hii?
Achana na jamii bima, ESB ambayo tayari ipo e-GA na inafanya kazi, Wizara ya TEHAMA imeamuru NMB kupewa tender kupitia MOU hio wao ndio watengeneze ESB ya serikali, yaani mawasiliano ya mifumo yote ya serikali ananyang'anywa e-GA na anapewa NMB why?
Hivi nchi hii tuna mawaziri wanaofikiria kweli? Haya ndio mambo ya waziri alikuja na kufuta physics akasema iwe physics with chemistry, waziri huyo wa zamani alifuta masomo ya biashara na kilimo pia kabla ya serikali ku reverse maamuzi hayo, lakini kama mnakumbuka kuna watanzania walifutiwa masomo hayo.
Waziri wa TEHAMA unaua e-GA kwa maslahi ya nani?
Waziri wa TEHAMA unaua e-GA kwa kumkomoa nani?
View attachment 2883959
Duu ,haya mambo aulizwe NapeMiezi takribani sita imepita niliandika juu ya njama za viongozi waandamizi wa serikali kuihujumu mamlaka ya serikal mtandao(e-GA). Mipango ya e-GA kuzuiwa kufanya majukumu ya uundaji wa mifumo ya serikali ili waandamizi watafute kampuni binafsi kufanya hayo imeanza kufanikiwa.
Leo Wizara ya TEHAMA imeingia makubaliano na NMB ili NMB iwe inalipwa na serikali kutengeneza mifumo ya TEHAMA ya serikali.
Kwa mujibu wa MOU iliyo sainiwa leo , NMB atatoa wataalamu wa TEHAMA(Software developers) kutengeneza mfumo utakao replace NIDA na RITA ,kama mnavyofahamu ,serikali inakuja na jamii number ,namba ambayo mtoto akizaliwa atakuwa nayo na atakua nayo ,initiative nzuri sana lakiniiiii, kulikua na ulazima gani wa mradi nyeti kama huu kupewa taasisi binafsi? wafanyakazi wa NMB wana proper vetting kuanza kushika mifumo ya siri namna hii?
Achana na jamii bima, ESB ambayo tayari ipo e-GA na inafanya kazi, Wizara ya TEHAMA imeamuru NMB kupewa tender kupitia MOU hio wao ndio watengeneze ESB ya serikali, yaani mawasiliano ya mifumo yote ya serikali ananyang'anywa e-GA na anapewa NMB why?
Hivi nchi hii tuna mawaziri wanaofikiria kweli? Haya ndio mambo ya waziri alikuja na kufuta physics akasema iwe physics with chemistry, waziri huyo wa zamani alifuta masomo ya biashara na kilimo pia kabla ya serikali ku reverse maamuzi hayo, lakini kama mnakumbuka kuna watanzania walifutiwa masomo hayo.
Waziri wa TEHAMA unaua e-GA kwa maslahi ya nani?
Waziri wa TEHAMA unaua e-GA kwa kumkomoa nani?
View attachment 2883959
e-GA Iko Kwa kazi gani?Wabongo tupunguze ujuaji, kwamba NMB ihujumu serikali!! wakati serikali inamiliki 40% ya benki hiyo?
Miezi takribani sita imepita niliandika juu ya njama za viongozi waandamizi wa serikali kuihujumu mamlaka ya serikal mtandao(e-GA). Mipango ya e-GA kuzuiwa kufanya majukumu ya uundaji wa mifumo ya serikali ili waandamizi watafute kampuni binafsi kufanya hayo imeanza kufanikiwa.
Leo Wizara ya TEHAMA imeingia makubaliano na NMB ili NMB iwe inalipwa na serikali kutengeneza mifumo ya TEHAMA ya serikali.
Kwa mujibu wa MOU iliyo sainiwa leo , NMB atatoa wataalamu wa TEHAMA(Software developers) kutengeneza mfumo utakao replace NIDA na RITA ,kama mnavyofahamu ,serikali inakuja na jamii number ,namba ambayo mtoto akizaliwa atakuwa nayo na atakua nayo ,initiative nzuri sana lakiniiiii, kulikua na ulazima gani wa mradi nyeti kama huu kupewa taasisi binafsi? wafanyakazi wa NMB wana proper vetting kuanza kushika mifumo ya siri namna hii?
Achana na jamii bima, ESB ambayo tayari ipo e-GA na inafanya kazi, Wizara ya TEHAMA imeamuru NMB kupewa tender kupitia MOU hio wao ndio watengeneze ESB ya serikali, yaani mawasiliano ya mifumo yote ya serikali ananyang'anywa e-GA na anapewa NMB why?
Hivi nchi hii tuna mawaziri wanaofikiria kweli? Haya ndio mambo ya waziri alikuja na kufuta physics akasema iwe physics with chemistry, waziri huyo wa zamani alifuta masomo ya biashara na kilimo pia kabla ya serikali ku reverse maamuzi hayo, lakini kama mnakumbuka kuna watanzania walifutiwa masomo hayo.
Waziri wa TEHAMA unaua e-GA kwa maslahi ya nani?
Waziri wa TEHAMA unaua e-GA kwa kumkomoa nani?
View attachment 2883959
Una Kitu! Itabidi ujengewe sanamu kwa avatar uliyoweka jf.Hii Nchi ukiona mradi unaanzishwa sio kwa ajili ya kutatua changamoto za watanzania bali kutatua changamoto za familia binafsi ya waliopo kwenye mradi
Ukiona mradi upo lakini wazee wanapush utengenezwe pia hicho kichaka.Una Kitu! Itabidi ujengewe sanamu kwa avatar uliyoweka jf.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
haiwezi kuwa nchi lawless ,leo NMB anapewa kazi za software ,kesho CRDB atapewa tender ya kusindika maziwa , mnafikiri kwa kutumia matumbo na kuwaza hongo na 10% , wazee wa Tanzania Digital work group wakiongozwa na Nape wameuza nchi na siri za mifumo ya nchi kwa taasisi binafsi ili wapate 10%Wapewe tu hao NMB na hata wengine wataokuwa tayari na uwezo wa kufanya...
Taasisi za serikali zimelala, hakuna ubunifu, wanakula mishahara ya bure tu...
eGA toka kuanzishwa kwake hadi sasa wamefanya jambo gani la maana?
Nape na wenzake wanamhujumu mama samia ,wanaipa kampuni ya bank kutengeneza mifumo.CCM mbere kwa mbeereeeeee
Ukiuliza kidogo,unasikia "mama anatenda","mama kizimkazi".....matako yenu
na wakiambiwa wanakua wakali, wanamharibia sana Rais , kipindi upinzani wa nchi hii uko hai madudu haya yalitakiwa yawe yamepigiwa kelele sana ,lakini sana akina Zitto Kabwe wanaogelea kwenye asali tu ,hawana habari.Hii Nchi ukiona mradi unaanzishwa sio kwa ajili ya kutatua changamoto za watanzania bali kutatua changamoto za familia binafsi ya waliopo kwenye mradi
haiwezi kuwa nchi lawless ,leo NMB anapewa kazi za software ,kesho CRDB atapewa tender ya kusindika maziwa , mnafikiri kwa kutumia matumbo na kuwaza hongo na 10% , wazee wa Tanzania Digital work group wakiongozwa na Nape wameuza nchi na siri za mifumo ya nchi kwa taasisi binafsi ili wapate 10%
Ndio maana tunasema ili uikombea nchi kutoka kwenye utegemezi wa technology waamini vijana wako ,wape majukumu ,watatambaa miezi miwili ya kwanza then watatembea, e-GA wameshavuka hatua za kutambaa wanakimbia mbio safi ,inawezekana hawajafikia perfection ya microsoft na wengine lakini e-GA ni game changer kwa mapinduzi ya TEHAMA.Mtakuwa wakali lakini taasisi za serikali zimelala, zinafanya kazi kwa mazoea, hakuna ubunifu wowote...
Hao eGA wana infrastructure nzuri kweli maybe top class kwa teknolojia lakini hakuna tija yeyote...
Hizo infra zimetumia kodi yako na ya wengine...
Twitter hua inadondoka,Facebook hua inacrush, google the same ,hadi whatsapp , mfumo upi duniani hua hauna hitilafu?
Kwa hio 500 error ndiyo imefanya wajomba zako na wazee wako wauze mifumo ya serikali kwa NMB?
hua aibu

kufanya kazi na e-GA kwa just ku integrate mfumo wako kwao ni tone la maji baharini.actually nshafanya nao kazi kwahio sielewi utetezi wako unautoa wap ila its the worst!
umewacheki wakasemajebasi tuseme jana ilikua inacrash na leo vp?
View attachment 2888837
umewacheki wakasemaje
kufanya kazi na e-GA kwa just ku integrate mfumo wako kwao ni tone la maji baharini.
sasa mkuu unaamini banking sector ina vijana bora kuliko e-GA ambao wao wakilala wakiamka wana develop mifumo?
au unaamua kubisha tu ,ungenilinganishia e-GA na dev companies za mbele kubwa ningekuelewa lakini hapa TZ hakuna wakali wa dev kama e-GA