E. Kezilahabi: Rosa Mistika

E. Kezilahabi: Rosa Mistika

nisie kuwa na hata chembe ya idea ya hio kitabu , mtanisaidiaje naomba japo mnipe hata fununu....
 
Wadau hebu niambieni huyu ROSA MISTIKA ni nani haya kwenye riwaya

Taswira ya Mwanamke katika Riwaya ya Kezilahabi (1971) Rosa Mistika
Mwandishi Kezilahabi katika riwaya yake ya Rosa Mistika anamtumia Rosa kama mhusika mkuu wa riwaya yake. Ukuu wake umezawadiwa kwa kubeba jina la riwaya husika. Rosa katika riwaya hiyo anaoneshwa kuwa alizaliwa na kukulia kwenye mazingira ya kunyanyaswa na baba yake, mzee Zakaria. Aidha, mwandishi anasawiri maisha ya Rosa alipokuwa anasomo shule ya sekondari na pia alipokuwa katika Chuo cha Ualimu. Mwandishi ametuonesha katika kazi yake hii, jinsi Rosa alivyobahatika kwa mafanikio makubwa kuhitimu mafunzo yake ya ualimu na kuajiriwa kama mwalimu. Mwisho mwandishi anamsawiri Rosa katika picha ya kusikitisha. Kwa ujumla, kwa kumpitia Kezilahabi, tunamwona mwanamke akisawiriwa katika taswira zifuatazo:

Jielimishe zaidi hapa>>>>>>..Bei za Uanachama – Mwalimu Wa Kiswahili
 
Rosa Mistika - Rose Mystical = Ua ridi lenye fumbo

Ni kitabu kilichotungwa na Mwanafasihi Kezilahabi akiponda vilivyo Mfumo wa Kanisa Katoliki.

Ni riwaya ya aina yake ambayo unapaswa uitafute na ufaidi uhondo.
 
Hiki kitabu kilipigwa ban na serikali
Watu mmekuwa mnachanganya miaka nenda miaka rudi. Kitabu kilichofungiwa na serikali ni Kaptula la Marx na wala sio Rosa Mistika. Japo vyote mwandishi wake ni Euphrase Kezilahabi.
 
A
Mhusika katika kitabu kinachoitwa DUNIA UWANJA WA FUJO,Alikua mwalim yule dada alisomea Kigurunyembe Morogoro kwao ni Ukerewe
isomea kweli au ni kwenye kitabu unazungumzia uhalisia au
 
Back
Top Bottom