Daaaa, kweli mkuu wangu pole sana. Kama ningepewa simu nitumie basi ingelikuwa kasheshe....
Ningelikuwa natembea hata 5 km kwenda kutafuta mtandao wa kuvuta kwa bei nafuu......
Nakumbuka miaka ileeee nashinda uwanja wa Sabasaba kuangalia kama banda la Posta wataonyesha Video Clips za music. Kila nikitoka nahakikisha si zaidi ya dakika 20. Wanaonyesha na wakijisikia tu, wanakazima any time without warning.........
Heri ya nusu shari kuliko shari kamili. Kuna siku utakuwa na Ki-Pad chako au Ki G-String cha Laptop yaani NETBOOK. PAD kwa sasa zinashuka bei saana ukiingia kwenye EBAY.COM bei zake zipo za nafuu hasa kwa watengenezaji wasiojitangaza sana na Wachina.
Kwa hiyo Preta anatoa kibinda nkoe?Preta inaelekea unayo kibinda nkoe wewe!
Kwa hiyo Preta anatoa kibinda nkoe?
Ahhh, jingine ambalo pia ni tittle ya wimbo ni huu unaitwa BINA NA NGAI NA RESPECT ikiwa na maana ya "Cheza na mie kwa adabu."
Bibie naona alikuwa kasogelewa na homeboy NN aka Toto Tundu likaingia kamguu kama kwenye Lambada hahahaaa 🙂
Ila hebu mcheki Dogo huyu akitesa na hicho kibao cha zamani ambacho wakati kinaandikwa na kuimbwa, baba yake alikuwa hata hajabarehe....
Kwa hiyo Preta anatoa kibinda nkoe?
Daah nyi watu mnanikumbusha mbali sana aisee. Enzi za Diamond Sound pale Silent Inn Mwenge/ Mlalakuwa
Daaaa, kweli mkuu wangu pole sana. Kama ningepewa simu nitumie basi ingelikuwa kasheshe....
Ningelikuwa natembea hata 5 km kwenda kutafuta mtandao wa kuvuta kwa bei nafuu......
Nakumbuka miaka ileeee nashinda uwanja wa Sabasaba kuangalia kama banda la Posta wataonyesha Video Clips za music. Kila nikitoka nahakikisha si zaidi ya dakika 20. Wanaonyesha na wakijisikia tu, wanakazima any time without warning.........
Heri ya nusu shari kuliko shari kamili. Kuna siku utakuwa na Ki-Pad chako au Ki G-String cha Laptop yaani NETBOOK. PAD kwa sasa zinashuka bei saana ukiingia kwenye EBAY.COM bei zake zipo za nafuu hasa kwa watengenezaji wasiojitangaza sana na Wachina.
Bhaelezee bhaelezee bhaelewe bhakakhatendeToleka kibinda.....maboko likoloo