E kibinda nkoe

E kibinda nkoe

Ekibinda Nkoi ni sauti ya simba...bana ba zambe balobi mingi.... watoto wa mungu....maboko likoloo - Mikono Juuu...
pona nini kipindu.....makambo ezali minene?- Kwanini mambo yako makubwa...
Ha ha I hope that Help...guys niko nao..
 
Daaaa, kweli mkuu wangu pole sana. Kama ningepewa simu nitumie basi ingelikuwa kasheshe....

Ningelikuwa natembea hata 5 km kwenda kutafuta mtandao wa kuvuta kwa bei nafuu......

Nakumbuka miaka ileeee nashinda uwanja wa Sabasaba kuangalia kama banda la Posta wataonyesha Video Clips za music. Kila nikitoka nahakikisha si zaidi ya dakika 20. Wanaonyesha na wakijisikia tu, wanakazima any time without warning.........

Heri ya nusu shari kuliko shari kamili. Kuna siku utakuwa na Ki-Pad chako au Ki G-String cha Laptop yaani NETBOOK. PAD kwa sasa zinashuka bei saana ukiingia kwenye EBAY.COM bei zake zipo za nafuu hasa kwa watengenezaji wasiojitangaza sana na Wachina.

mimi maskini sina hela lakini akili bwerere !nita-make tu
 
Ahhh, jingine ambalo pia ni tittle ya wimbo ni huu unaitwa BINA NA NGAI NA RESPECT ikiwa na maana ya "Cheza na mie kwa adabu."

Bibie naona alikuwa kasogelewa na homeboy NN aka Toto Tundu likaingia kamguu kama kwenye Lambada hahahaaa 🙂

Ila hebu mcheki Dogo huyu akitesa na hicho kibao cha zamani ambacho wakati kinaandikwa na kuimbwa, baba yake alikuwa hata hajabarehe....

hii kipande ni kikali na naona dogo akikamata vilivyo.
asante sikonge kwa huu muziki "minene"

Last edited by a moderator:
Daah nyi watu mnanikumbusha mbali sana aisee. Enzi za Diamond Sound pale Silent Inn Mwenge/ Mlalakuwa

Dah pale kwa papaa Felician Mutta,sijui kaishia wapi huyu.Ilikuwa raha hasa kwa wanafunzi wa chuo miaka hiyo.
 
Daaaa, kweli mkuu wangu pole sana. Kama ningepewa simu nitumie basi ingelikuwa kasheshe....

Ningelikuwa natembea hata 5 km kwenda kutafuta mtandao wa kuvuta kwa bei nafuu......

Nakumbuka miaka ileeee nashinda uwanja wa Sabasaba kuangalia kama banda la Posta wataonyesha Video Clips za music. Kila nikitoka nahakikisha si zaidi ya dakika 20. Wanaonyesha na wakijisikia tu, wanakazima any time without warning.........

Heri ya nusu shari kuliko shari kamili. Kuna siku utakuwa na Ki-Pad chako au Ki G-String cha Laptop yaani NETBOOK. PAD kwa sasa zinashuka bei saana ukiingia kwenye EBAY.COM bei zake zipo za nafuu hasa kwa watengenezaji wasiojitangaza sana na Wachina.

Naamini kashanunaua
au uansemaje mkuu kipindupindu
 
Back
Top Bottom