Mbuty
JF-Expert Member
- Sep 16, 2011
- 411
- 238
Hello, natafuta marafiki wa kuwasiliana nao, nina miaka 28, mwanaume, ninafanya kazi ktk kampuni ndogo ya micro finance sort of, napenda mpira(manu), kuogelea haswa beach, kusafiri, movies, kuimba(naimba choir/kwaya) pia napenda kuwa na furaha.
Asanteni.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Asanteni.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums