Pole kwa yaliyokukuta but cha kujiuliza pamoja na kuwa kwenye game zaid ya miaka 10 (kwa ufadhili wa Flora) iweje leo unalia lia tu kwenye media kuwa Flora kakuacha? kwani huna kisomo, nguvu na maarifa ya kukufanya upate hela na ujitegemee? Acha kulia lia na media eti umeporwa mke. La muhimu jipange uanze upya na ukipata pesa ama Flora au mwanamke yeyote atakuja mwenyewe (bila kutongoza) otherwise usipojibidisha na kufanya kazi unaweza kuandika historia mbaya (Cameron). We mwanaume pambana
Hapa hamjaelewa issue ilivyo. Huyu Emmanuel ndie aliekua meneja wa Flora. Michongo yote na Promo zote za hela ndie aliesuka.
Flora alikua anajua kuimba tu, but hakua na channels za watu wakubwa. Hata studio aliofungua Lowassa ni Emmanuel ndie alieunganisha. Sema sasa kama Mume basi umeneja wake haukua kwenye maandishi popote.
Wewe N Mjinga, Ushaur Unautoa Kwa Mtu Halafu Unaandika Humu We Kwel Makombo Ya Utumbo Wa Mbuz
Hapa hamjaelewa issue ilivyo. Huyu Emmanuel ndie aliekua meneja wa Flora. Michongo yote na Promo zote za hela ndie aliesuka.
Flora alikua anajua kuimba tu, but hakua na channels za watu wakubwa. Hata studio aliofungua Lowassa ni Emmanuel ndie alieunganisha. Sema sasa kama Mume basi umeneja wake haukua kwenye maandishi popote.
huyu Emmanuel pasi shaka ndipo anapoelekea hv unafikiri akikutana na yule mmiliki wa mabasi ya kwenda DODOMA-DAR (SHA-BB) atapona kweli?
natuache wafanye yao sasa...imetosha
ingekuwa bora huu ujumbe ungemfikishia huyo mlengwa mlangoni kwake!