E. Mbasha kwa nini hukujibidisha upate hela?

E. Mbasha kwa nini hukujibidisha upate hela?

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Pole kwa yaliyokukuta but cha kujiuliza pamoja na kuwa kwenye game zaid ya miaka 10 (kwa ufadhili wa Flora) iweje leo unalia lia tu kwenye media kuwa Flora kakuacha?

Kwani huna kisomo, nguvu na maarifa ya kukufanya upate hela na ujitegemee? Acha kulia lia na media eti umeporwa mke. La muhimu jipange uanze upya na ukipata pesa ama Flora au mwanamke yeyote atakuja mwenyewe (bila kutongoza) otherwise usipojibidisha na kufanya kazi unaweza kuandika historia mbaya (Cameron).

We mwanaume pambana.
 
Huyu Ndugu alikuwa Marioo (analelewa na Flora) tena bila kujua pesa zinatoka kwa Baba Askofu wa pale Kawe na Mzee wetu sasa leo Baba Askofu kaamua kupata VALUE FOR MONEY Emma anangáka. Atulie asipanik
 
Pole kwa yaliyokukuta but cha kujiuliza pamoja na kuwa kwenye game zaid ya miaka 10 (kwa ufadhili wa Flora) iweje leo unalia lia tu kwenye media kuwa Flora kakuacha? kwani huna kisomo, nguvu na maarifa ya kukufanya upate hela na ujitegemee? Acha kulia lia na media eti umeporwa mke. La muhimu jipange uanze upya na ukipata pesa ama Flora au mwanamke yeyote atakuja mwenyewe (bila kutongoza) otherwise usipojibidisha na kufanya kazi unaweza kuandika historia mbaya (Cameron). We mwanaume pambana

Kwani wanataka kum cameron?
 
Wewe N Mjinga, Ushaur Unautoa Kwa Mtu Halafu Unaandika Humu We Kwel Makombo Ya Utumbo Wa Mbuz
 
Huyu ndugu Mbasha mbona kama ana dalili zote za ki-CAMERON yaani ni mtu wa kukata mauno jukwaani, mzuri wa sura,asiyetaka tabu na ngozi laini anafaa kutiwwa bila shaka wahusika wameshamuona na watafanya booking
 
huyu Emmanuel pasi shaka ndipo anapoelekea hv unafikiri akikutana na yule mmiliki wa mabasi ya kwenda DODOMA-DAR (SHA-BB) atapona kweli?
 
Hapa hamjaelewa issue ilivyo. Huyu Emmanuel ndie aliekua meneja wa Flora. Michongo yote na Promo zote za hela ndie aliesuka.

Flora alikua anajua kuimba tu, but hakua na channels za watu wakubwa. Hata studio aliofungua Lowassa ni Emmanuel ndie alieunganisha. Sema sasa kama Mume basi umeneja wake haukua kwenye maandishi popote.
 
imefika mahali sasa huyu mbasha aombe hata mtaji afanye biashara zake, haya mambo kwamba mkeo ni mwimbaji na wewe ndio unajifunza usteji shoo ni aibu.

kiuhalisia inaonesha mali zote ni za mwanamke, maana ndiye mwenye kipaji cha uimbaji alafu jamaa kama naye ana katamaa ka wanawake nje huku akijua wazi analelewa na mkewe na babo anafumwa na kuanza kulia lia, hii ni aibu kubwa kwa wanaume.

Mwanaume anayejitegemea hawezi kulia hovyo kisa mwanamke anamwacha.
 
Hapa hamjaelewa issue ilivyo. Huyu Emmanuel ndie aliekua meneja wa Flora. Michongo yote na Promo zote za hela ndie aliesuka.

Flora alikua anajua kuimba tu, but hakua na channels za watu wakubwa. Hata studio aliofungua Lowassa ni Emmanuel ndie alieunganisha. Sema sasa kama Mume basi umeneja wake haukua kwenye maandishi popote.

mtu mwenye connection namna hiyo mpaka na akina lowasa anaweza kulia lia kisa anaachwa na mke au vyombo kama makochi kuondolewa ndani? anaweza kulia kesi ya kubaka ambayo haina ushahidi na anaweza kuizima kwa mtandao wake? zungumza ukweli ndugu? huyo flora ni mjukuu wa moses kulola ambaye anajulikana marekani ,ulaya na nchi nyingi na kanisa hilo ni kubwa hicho ndio kimempa flora connection.
 
Hapa hamjaelewa issue ilivyo. Huyu Emmanuel ndie aliekua meneja wa Flora. Michongo yote na Promo zote za hela ndie aliesuka.

Flora alikua anajua kuimba tu, but hakua na channels za watu wakubwa. Hata studio aliofungua Lowassa ni Emmanuel ndie alieunganisha. Sema sasa kama Mume basi umeneja wake haukua kwenye maandishi popote.

Gardner aliacha kazi clouds akaenda kwenye kumanage kazi za mkewe ikiwemo ule mgahawa nyumbani lounge
ila sasa kaamua kurudi kwenye kazi yake.

Mbasha ingebidi afanye hivyo mambo ya kukata mauno na mkewe stejini sio dili wala nini
 
Hizi tabia za wanaume wazima ambao nao pia wana matatizo lukuki kuanza kuongelea maisha ya wenzao, tena kwa kuanzisha nyuzi, wakati ya kwao yanawasubiri mezani inaudhi sana.
 
Back
Top Bottom