E. Mbasha kwa nini hukujibidisha upate hela?


makubwa haya sasa eti kulola jina kubwa ndo imempa connection!! jamani wakati mwingine si lazima kuongea hata ukinyamaza inakupa thamani.....sasa kama ndivyo ivyo! kwa nini kama mwenyewe ana conection achangiwe na walala hoi wa pale kanisani na ni kwa nini ategemee papuchi yake kujitajirisha? Please wake up now!! dont fool yourself!
 
emma kilichobaki atafute bwana amuoe tu!" ..........
 
Emma hana busara hata chembe pengine anafikiri bado anaendesha Bajaj kama zamani anapaswa kutambua yeye ni mwanaume na hapaswi kubishana na mwanamke hata siku moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…