Heloo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,391
- 3,404
mtu mwenye connection namna hiyo mpaka na akina lowasa anaweza kulia lia kisa anaachwa na mke au vyombo kama makochi kuondolewa ndani? anaweza kulia kesi ya kubaka ambayo haina ushahidi na anaweza kuizima kwa mtandao wake? zungumza ukweli ndugu? huyo flora ni mjukuu wa moses kulola ambaye anajulikana marekani ,ulaya na nchi nyingi na kanisa hilo ni kubwa hicho ndio kimempa flora connection.
makubwa haya sasa eti kulola jina kubwa ndo imempa connection!! jamani wakati mwingine si lazima kuongea hata ukinyamaza inakupa thamani.....sasa kama ndivyo ivyo! kwa nini kama mwenyewe ana conection achangiwe na walala hoi wa pale kanisani na ni kwa nini ategemee papuchi yake kujitajirisha? Please wake up now!! dont fool yourself!