E mbasha, Ruge, Barnaba, Idris, Nuhu Mziwanda, mnahitaji kumuona psychologist acheni ukijifanya mko ok

E mbasha, Ruge, Barnaba, Idris, Nuhu Mziwanda, mnahitaji kumuona psychologist acheni ukijifanya mko ok

dutch2

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2017
Posts
1,009
Reaction score
976
Ukweli utabaki kuwa ukweli, wanaume akiachwa na mwanamke anaumia sana na adhari nikubwa comparing to wanawake bad thing ni wachache sana wanakubaligi kuwa hawako ok wengi wanaajitapaga am ok, am ok, I got new chick better than her bla bla...money is nothing kwenye hili nyie mnaojidai I got cash cjui na nini mifano iko kibao uku mitaani ila kwakuwa nyie ni celebrities angalieni the current mfano wa the late IVAN,NDIKUMANA

Ushauri wa bure yakikukuta usijifungue ndani na usipretend ur ok nakujichekesha kwa watu while unakufa taratibu speak it loud upate msaada wa kurelease iyo pain otherwise utasema umelogwa Chriss Mauki saidia vijana wako
 
ni kweli..halafu kwani mtu akikuacha ndo mwisho wa dunia?
jifunze kumove on na kujiweka busy na life yako..utampata alie sahihi na utafurahia mahusiano tena.

we unaweweseka wee mwisho mnapata maradh ya moyo halafu unakufa ghafla ukiwa na afya yako njema.
 
Mleta mada sikubishii ila najaribu kueleza ninachojua, Ukisema wanaume ndio wanaumia sana si sahihi sana, kuumia haiangalii jinsia, inaangalia brain ya mtu...

By the way, mapenzi ni emotional, emotional zaidi kuliko logical, kwa hiyo kinachodrive mapenzi ni emotions, sio logic...... Hapa sasa, ukitaka kujua ni nani anaumia zaidi katika mapenzi kati ya mwanaume na mwanamke( namaanisha kwa asilimia kubwa), unatakiwa kujua ni nani yuko emotional zaidi kati ya mwanaume na mwanamke.
 
Huyu alisha pona?? Huyu nae aliachwa akawa anapost vitu visivyo eleweka huko tweter

DND12.PNG
 
Jamani kutahiriwa si huwa inafanyika mkiwa wachanga sana jamani?Huwa bado mna hiyo kumbukumbu ya maumivu yake?Au wewe ulitahiriwa ukiwa mkubwa unajitambua?
Heee, ndugu, Tanzania ni kubwa sana, ukiacha sula kwamba kutahiriwa ni mila kwa makabila mengi, kuna watu wengi tu wanazeeka na mikono ya sweta.
Suala la mila liko hivi!, kutahiriwa ni kuonyesha kwamba sasa mtu anaacha utoto na anaingia utu uzima, hivyo hufanyika akifikia umri wa kubalehe, And this is what i recommend to my sons.
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli, wanaume akiachwa na mwanamke anaumia sana na adhari nikubwa comparing to wanawake bad thing ni wachache sana wanakubaligi kuwa hawako ok wengi wanaajitapaga am ok, am ok, I got new chick better than her bla bla...money is nothing kwenye hili nyie mnaojidai I got cash cjui na nini mifano iko kibao uku mitaani ila kwakuwa nyie ni celebrities angalieni the current mfano wa the late IVAN,NDIKUMANA

Ushauri wa bure yakikukuta usijifungue ndani na usipretend ur ok nakujichekesha kwa watu while unakufa taratibu speak it loud upate msaada wa kurelease iyo pain otherwise utasema umelogwa Chriss Mauki saidia vijana wako
Nimelike post yako ila unaharibu kiswahili.
Inawezekana lahaja ya kwenu imezidi unga. kiwahili hakina 1. wanakubaligi-- instead HUWA WANAKUBALI. 2. wanajitapaga= huwa wanajitapa
 
Back
Top Bottom