E mbasha, Ruge, Barnaba, Idris, Nuhu Mziwanda, mnahitaji kumuona psychologist acheni ukijifanya mko ok

E mbasha, Ruge, Barnaba, Idris, Nuhu Mziwanda, mnahitaji kumuona psychologist acheni ukijifanya mko ok

ni kweli..halafu kwani mtu akikuacha ndo mwisho wa dunia?
jifunze kumove on na kujiweka busy na life yako..utampata alie sahihi na utafurahia mahusiano tena.

we unaweweseka wee mwisho mnapata maradh ya moyo halafu unakufa ghafla ukiwa na afya yako njemYa.
Yeah, emotions.
 
Aiseee hiii n kweli inauma kuachwa
Na mwanamke kudadek yan
Haya maumivu hata ya kutairiwa
Hayafui dafu kwenye kuachwa
'' Hhadith inayokuja ni ya sungura sikia
alitoka siku moja njaa aliposikia''
avatar yako inanikumbusha darasa la nne mwaka1991
 
Heee, ndugu, Tanzania ni kubwa sana, ukiacha sula kwamba kutahiriwa ni mila kwa makabila mengi, kuna watu wengi tu wanazeeka na mikono ya sweta.
Suala la mila liko hivi!, kutahiriwa ni kuonyesha kwamba sasa mtu anaacha utoto na anaingia utu uzima, hivyo hufanyika akifikia umri wa kubalehe, And this is what i recommend to my sons.
mkuu wakate govi mapema usimcheleweshee mgegedo!vijana/ watoto wasikuhizi wanaanza mdinyo mapema!
 
Tatizo mwanamke akimwacha mwanaume huwa anongea shit sana mtaani na mbwembwe nyingi tu. Asiposema una KIBAMIA basi ujue una bahati sana.
 
mkuu wakate govi mapema usimcheleweshee mgegedo!vijana/ watoto wasikuhizi wanaanza mdinyo mapema!
Hahahaaaaa!, mkuu, mimi binafsi nachukulia kama ni tukio muhimu sasa kwenye maisha yangu, hadi leo nakumbuka ilikuwaje, nilikuwa naumia ikidinda kipindi sijapona na mambo kama hayo, kumnyima mtu kumbukumbu hizo kwa kumtahiri akiwa mdogo sana, ni kumuonea.
 
Wanaume gani unawaongelea? Labda hao wa Dar.

Wanaume haswa wamekuwa sugu wa kuachwa tangu wakianza kukuwa na sasa wana mioyo ya chuma yenye kutu.
 
Nimelike post yako ila unaharibu kiswahili.
Inawezekana lahaja ya kwenu imezidi unga. kiwahili hakina 1. wanakubaligi-- instead HUWA WANAKUBALI. 2. wanajitapaga= huwa wanajitapa
kiwahili=kiswahili... huko shuleni mnakwenda kusoma ubwege
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Inategemea umeinvest nini kwa huyo mwanamke, mke umekaa naye zaid ya miaka 6 alafu ile kipato kinashuka ndo anaanza ubwege, tena ubwege kwelikweli hii nilaazima imsumbue mtu. Unakutana na 1 nightstand afu naww unatangaza umechwa
 
Back
Top Bottom