"E Motherland" ndani ya JamiiForums ni kwa kusudio maalumu. Ni vyema niwashirikishe

Ungeomba kukatibishwa then ungeenda kushinda kule celebrat id yako ingekuwa juuu kabisa, kulingana na nyuzi ambzo ungeoandisha. Mwenzako warumi R.I.P alikuwa hivi hivi. Na mwisho alichaguliwa kuwa memba bora wa jukwaaa lile.

Katibu jf.
 
Sina uzoefu mkubwa wa uandishi ama uwasilishaji taarifa. Lakini nimejaaliwa kipawa cha kufikisha taarifa mbele ya hadhira na watu wakaipenda

Hivyo mtaniwia radhi katika uwasilishaji mbovu nitakaokuwa nao

Ahsante
Mbna unajibu kama Artificial intelligence (bard na ChartGpt)
 
Bila shaka una kinga kama ya kibalozi huwezi kupigwa ban forever ever
[emoji28][emoji28] Sidhani kama timu nzima ya Melo inaweza kufikiri kunitandika ban hata siku moja kwa sababu mi sio mtukanaji
 
Kwani kumetokea nini mkuu?
6ae500cd724e98b54356d63c33fc2652.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungeomba kukatibishwa then ungeenda kushinda kule celebrat id yako ingekuwa juuu kabisa, kulingana na nyuzi ambzo ungeoandisha. Mwenzako warumi R.I.P alikuwa hivi hivi. Na mwisho alichaguliwa kuwa memba bora wa jukwaaa lile.

Katibu jf.
Ushauri mzuri huu kaka. Nitaufanyia kazi
 
U hali gani msomaji? Pole na majukumu ya hapa na pale ya shughuli zote za ujenzi wa taifa

E Motherland ni ID mpya inayomilikiwa na mimi mwandishi (Jina kapuni) ikiwa chini ya uangalizi mzima wa uongozi wa JamiiForums. Lengo la kuanzisha ID hii ni kukupasha habari za burudani zinazowahusu wasanii hasa wa muziki na michezo ya runinga ikiwemo ucheshi. ID hii itajihusisha zaidi na kazi za kisanaa kutoka kwa wasanii chipukizi ambao wanafanya vyema katika tasnia hizi

Hivyo ID hii itakuwa maalumu kwa ajili ya burudani (exclusives) wala haitojihisisha na siasa kwa ujumla. Karibuni tuutumie muda wetu wa ziada kuburudisha akili zetu kutokana na mchoko wa hapa na pale tuupatao katika mihangaiko yetu ya hapa na pale

Naombeni kukaribishwa humu jukwaani. Pia naomba kuitambulisha ID hii na kuiwasilisha kwenu wana JamiiForums kwa ujumla

Karibuni kwa maoni na ushauri
Aisee....
 
Tuwekee kapicha basi.
 
Back
Top Bottom