E Mwenyezi Mungu, natumai mke wangu atatokana na uzi huu. Natafuta mke

E Mwenyezi Mungu, natumai mke wangu atatokana na uzi huu. Natafuta mke

UZZIMMA

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
414
Reaction score
481
Sasa leo ni zamu yangu kutangaza nia ya dhati ya kutafuta mke kupitia JF.
Ninachoamini mke wangu huenda akatokea humu au tukaunganishwa na mke wangu mtarajiwa na mtu anayeishi ndani ya jiji la JF.

MIMI.
Umri 24
Muislam halisi
Diploma ya civil engineering.
Maji ya kunde
Zanzibar

Ninayemuhitaji
Awe hajawahi kuolewa na hajawahi kupata ujauzito.
Muislamu halisi sio muislamu jina.
Umri chini ya miaka 23

SIFA ZA ZIADA (sio za lazima)
Awe bikra.
Mweupe au maji ya kunde.

N.B
Tendo la ndoa lifanyike baada ya ndoa. (sitaki zinaa)
Kama una mwanao au nduguyo niozeshe tu, hakika mimi ndiye mume bora.
Kama huna vigezo au huwezi kunipatia msaada wowote, usikaribie inbox yangu.

Natumaini mrejesho wangu ni kuwaalika harusi. AAMEN.
 
Mkuu Bora useme ambaye hajazaa Ila ukisema ambaye hajawah kubeba ujauzito mh!!!
Anyway mungu akutangulie
 
sifa ziada na sio za lazima awe bikra[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom