EA Radio & TV waibukia kwa Ali Kiba

mayowela

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,753
Siku ya jana majira ya saa 12 jioni msanii Ali Kiba alizungumza na waandishi wa Habari pale Ramada Encore, akaeleza mikakati yake na Tour ya Alikiba Unforgetable pamoja na kumtambulisha msanii mpya ambae amejiunga kwenye kundi la muziki la KINGS.

EATV na RADIO ndio walioandaa na kunadi kuwa Ali ataongea na waandishi wa habari

Baada ya kila Media kujitangaza na kuwafikia wasikilizaji wake pamoja na kiasi flani kurudisha kwa jamii, kila mmoja ameona atoke kivyake laa sivo watu hawatokuja kutangaza biashara zao na kuwafata wale wanaosogea kwa jamii/wasikilizaji zaidi ili wajitangaze na wao

Clouds yuko na Fiesta akiwa na Mdhamini mkubwa TIGO
Wasafi wako na Wasafi Festival
EFM wako na Mziki Mnene
EFM/CLOUDS wote wanamsupport Konde boy

EA Radio na TV nao wameona hapana mbona tuko nyuma na kimya sana, hebu tufanye jambo
ndio kama wadhamini wakuu wa Ali Kiba Unforgettable Tour, maswali kadhaa najiuliza,

Je, Ali Kiba anawatosa kiaina maswahiba wake clouds?
Clouds wataendelea kumpa promo kama zamani?
Je, list ya wasanii waliopeform Fiesta na Wasafi festivo watakubali kuperform Alikiba Unforgetable tour..?
 
Clouds na Ali bado ni maswahiba sana na kwa namna moja watampromote tu
yeye kwenda East Africa ni sababu wale wana Fiesta wala hakuna ugomvi wala nini
acha watafute ulaji.
 
EAST AFRICA WALIJISAHAU SANA NADHANI WASHACHELEWA MNO NI KAMA WANAANZA UPYA, TATIZO WATAKALOKABILIANA NALO NI HILO LA KUANZA KUSHIRIKIANA NA WATU WENYE GUNDU
 
clouds na ali bado n maswahiba sana na kwa namna moja watampromote tu
yy kwenda east africa n sabab wale wana fiesta wala hakuna ugomvi wala nn
acha watafute ulaji
sawa sawa, nadhani hata idea walimpa wao kwa kuwa wao ratiba yao imebana
 
EAST AFRICA WALIJISAHAU SANA NADHANI WASHACHELEWA MNO NI KAMA WANAANZA UPYA, TATIZO WATAKALOKABILIANA NALO NI HILO LA KUANZA KUSHIRIKIANA NA WATU WENYE GUNDU
hahahahha GUNDU tena mkuu
 
East Africa wamepotea Sana watu wengi happy wa kwanza ni wasafi anayefuata ni cloud + konde wa mwisho ndo atakuwa alikiba.
 
kiba keshochoka nyonyo kama ndala wao ndo wanamuona chuchu saa sita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…