mayowela
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 2,125
- 1,753
Siku ya jana majira ya saa 12 jioni msanii Ali Kiba alizungumza na waandishi wa Habari pale Ramada Encore, akaeleza mikakati yake na Tour ya Alikiba Unforgetable pamoja na kumtambulisha msanii mpya ambae amejiunga kwenye kundi la muziki la KINGS.
EATV na RADIO ndio walioandaa na kunadi kuwa Ali ataongea na waandishi wa habari
Baada ya kila Media kujitangaza na kuwafikia wasikilizaji wake pamoja na kiasi flani kurudisha kwa jamii, kila mmoja ameona atoke kivyake laa sivo watu hawatokuja kutangaza biashara zao na kuwafata wale wanaosogea kwa jamii/wasikilizaji zaidi ili wajitangaze na wao
Clouds yuko na Fiesta akiwa na Mdhamini mkubwa TIGO
Wasafi wako na Wasafi Festival
EFM wako na Mziki Mnene
EFM/CLOUDS wote wanamsupport Konde boy
EA Radio na TV nao wameona hapana mbona tuko nyuma na kimya sana, hebu tufanye jambo
ndio kama wadhamini wakuu wa Ali Kiba Unforgettable Tour, maswali kadhaa najiuliza,
Je, Ali Kiba anawatosa kiaina maswahiba wake clouds?
Clouds wataendelea kumpa promo kama zamani?
Je, list ya wasanii waliopeform Fiesta na Wasafi festivo watakubali kuperform Alikiba Unforgetable tour..?