EABL ownership in Serengeti Breweries to be watered down

EABL ownership in Serengeti Breweries to be watered down

Wakenya wana akili kuliko watanzania,watanzania vichwani wamejaa utumbo tu,ni majitu ya hovyo hovyo tu yanayosubiri kila kitu yafanyiwe NA serikali,hayana ubunifu,mavivu,yana wivu

Nchi yao kubwa lakini ni kama ukubwa wa wale wanaoumwa ugonjwa wa vichwa kujaa maji,ukubwa wa pua makamasi kiduchu
Yet Watanzania hao hao ndo wanakupanua kinyeo chako kila siku unapoenda chooni kwa kula chakula kilicholimwa nao na kinachokupa nguvu ya kuandika upumbavu huu. [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikikutajia company zilizosajiliwa Tanzania kutoka Kenya 80% ni za wazungu wala sio manyang'au moja ikiwa hii EABL nyingine ni Barclay's Africa, Unilever, Standard Chartered hizi ni companies za makaburu ilikua ni ngumu kwao kuja na usajili wa SA kutokana na msimamo wa Mwalimu Nyerere na Tanzania dhidi ya makaburu so don't get twisted.

Company nyingine kama Diamond Trust, Nation Media etc haya ni companies za wageni ambazo zimechukua origin of ownership kuwa Kenya ili kuenjoy East African Community benefits kwa companies of partner states and nothing serious.
And very soon tutayafukuza ili waje genuine owners. Hata wale fake waliosajili makampuni fake (so called sistership) huko SA,USA,UK na China lakini tunawajua ni hao hao middleman wanaotokea Kenya na kwingine kote tutayafukuza
 
Back
Top Bottom