Chamoto
JF-Expert Member
- Dec 7, 2007
- 8,577
- 18,774
Kipande cha Moro Dodoma kitamalizika sawa na hichi cha Dar-Moro japokuwa vilianza muda tofauti, kutokana na jiografia ya Dar-Moro kuwa ngumu. Pia hii reli yetu unafanyiwa welding na kuwekwa milingoti, hivi vinaongeza muda wa ujenzi.Yetu ilianza kujengwa 2014 ikakamilika early 2017 600Km so on average 200km per year.
Tusubiri tuu mambo mazuri hayahitaji haraka.