EAC economies to end the year with alarming debt ratios- IMF

Yetu ilianza kujengwa 2014 ikakamilika early 2017 600Km so on average 200km per year.
Kipande cha Moro Dodoma kitamalizika sawa na hichi cha Dar-Moro japokuwa vilianza muda tofauti, kutokana na jiografia ya Dar-Moro kuwa ngumu. Pia hii reli yetu unafanyiwa welding na kuwekwa milingoti, hivi vinaongeza muda wa ujenzi.

Tusubiri tuu mambo mazuri hayahitaji haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…