EAC: Fursa za biashara, usafiri na masoko

Cybergates

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
697
Reaction score
1,474
Hesima kwenu wakuu.
Baada ya mda kidongo ivi wa kuwa busy, busy leo ningepena tujadiliane kuhusu fursa za biashara zilizopo kwenye hii jumuiya yetu ya EAC.
Nitatoa muongo kidigo kuhusu nachokijua juu ya EAC na biashara kiujumla ( kwenye EAC) nitaelezea frusa, usafiri na masoko wenye nchi zote 6 za EAC na member wengine wenye uwelewa watatusaidia.
========EAC=========
EAC Inaundwa na nchi 6 {tanzania, kenya, uganda, rwanda,burundi na sudan kusini}
EAC ina population ya watu 168.8ml
===tuanze na kenya==
kenya ina watu 48.5ml
miji mikubwa ya kibashara kenya ni NAIROBI, MOMBASA, NAKURU, ELDORET na KISUMU
bidhaa ambazo zinaweza kutoka ku import kenya na ambazo zina marketi huko ni
1.unga wa mahindi na mahindi yenyewe
2.mchele
3.palm oil
4.nyama za ndege (poultry product)
5.unga wa muhogo
6.pamba
7.ngozi za wanyama
8.live animals
9.mbao
10timber product
11.samaki
12.maziwa mgando
13. maharange ya njano
14matunda
15.vitunguu na wheat.
=> GDP ya wanachi wa kenya ni $1455
=>45.2% ya wakenya ni maskini {$1.90-3.1}
=>target market ya kitu unachotaka ku import na kwenye pricing uwe makini
=>mpaka mkubwa unaotumiwa ku import bidhaa kenya kutokea tanzania ni Namanga upo huko arusha
=NEXT RWANDA=

Mwendelezo:

--------------------------
Fursa zilizopo Rwanda
 
Mkuu vipi kuhusu changamoto za kuexport mazao kama maharage mfano export permit, ushuru/export tax inakuwaje kama una information waweza kutujuza
 
Safi sana mkuu, hatuondoki tunasubiri madini hapa
 
======RWANDA======
rwanda ina watu kama 11.2ml
rwanda wana zungumza
1.kinyarwanda
2.french
3.english
4.na baadhi kiswahili
>rwanda ni taifa la tatu kwenye hali zuri kwa kufanya biashara africa.
Rwanda wana import kutoka
=kenya
=uganda
=AUE
=china na tanzania
Kwa ujumla rwanda wana import sana
=Foodstuffs
=Mashine
=Chuma
=Petroleum product
=Cement
=Construction material
Pia unaweza ku import bidhaa zifuatazo na ukapata soko kirahisi
1.live animals
2.nyama
3.dairy products
4.mayai
5.Fish,crustaceans,molluses
6.cereal & cereal preparations
7.vegetable(karoti, vitunguu, spinach, matango, cabbages, maboga, viazi vitamu na viazi vya chips)
8.fruits(ndizi, maembe, mapasion, nazi, nyanya na pineaples)
9.sugar
10.honey
11.kahawa
13.tea na cocoa
=>2010 asilimia 55 ya warwanda walikua maskini
=GDP ya 2012 ilikua 644
====NEXT UGANDA===
 
Naomba mwenye detail kuhusu biashara ya asali yaani kupeleka asali Kenya ama Rwanda pako je ? Bei kwa Lita? Je permit zinakuwaje? Soko linaendaje ?, asante
 
Funguka zaidi kuhusu Rwanda miji yenye mzunguko wa kibiashara pia gharama za kuishi kule zipoje
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungetueleza na Tanzania mkuu sababu zipo baadhi ya Foodstuffs tunazo import kutoka mbali na zinasoko zuri tu ilihali hata sisi wenyewe tunaouwezo wa kuzipambania. Thanks!.

Uzi mzuri sana furaha yangu nikukuomba muanzisha mada kuuendeleza zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…