EAC leaders plotting to kill Raila Odinga — Oburu Oginga

He also said Tanzania has the worst intelligence in the world and this might be a "cock and bull" story aimed at tarnishing the image of EAC leaders.

I like that one in red.
 
Ipo siku Tanzania itapigwa na hizi nchi tatu

Nadhani unasema ukweli na huenda huo ni uchokozi wa kutafuta kasababu ka jamaa wote watatu kuishambulia Tanzania; ikishambuliwa na nchi tatu kwa mpigo sidhani kama itahimiri mikiki.
 
Matatizo ya kuwa na viongozi waswahili, umbea kwa sanaaa!!! Sasa nataka IKULU watoe tamko la kukataa hii habari ya DAILY POST!!!! Movie ndiyo imeanza!!!
 
Nadhani unasema ukweli na huenda huo ni uchokozi wa kutafuta kasababu ka jamaa wote watatu kuishambulia Tanzania; ikishambuliwa na nchi tatu kwa mpigo sidhani kama itahimiri mikiki.
Itahimili lakini haiwezi kuhimiri
 
Kwa hili nasimama upande wa Rais wangu JK....

Kuna kampeni inaendelea EA kumchafua JK na ni vema wana usalama wetu wakalijua na kulifanyia kazi.
Rais wetu anaweza kuwa dhaifu but he is not that stupid.

Kwa hali ilivyo nchini na ukanda huu wa mashariki, tunahitaji rais mwenye haiba tofauti na JK. It doesnt matter anatoka CCM, CUF au CDM.

Nimechoka kupandwa kichwani na majirani zetu!!

Nduli alipigwa hivi hivi kwa uchokozi wa kipumbavu.......hii propaganda against JK inachefua
 
I think "I will hit you" is behind the whole idea trying his best to sideline Tanzania, and if possible at all, to kick TZ out of the community. I doubt if this is really true. the source doesn't bother seeking opinions of people in question here.
 
Matatizo ya kuwa na viongozi waswahili, umbea kwa sanaaa!!! Sasa nataka IKULU watoe tamko la kukataa hii habari ya DAILY POST!!!! Movie ndiyo imeanza!!!

BIG NO.
how can a tanzania's state house be forced to refute accusations made by a gutter press like daily post?.
hivi hamjui kuwa hao daily post kwa kenya, ni sawa na vigazeti vya shigogo huku bongo?.au kwa kuwa wanatumia "kizungu".c'mon GTs, lets be serious.
 
gezeti la umbea unaleta story zake hapa JF. useless
 
japo sijui nini kipo juma ya pazia lakini Hesma ya rais wangu utunzwe......hatakama ni propaganda
 
Kwa lipi amuuwe Odinga? Waache propaganda
 
Cheap propaganda...watafute fitina nyingine....

Naona JK anawanyima usingizi hawa viongozi wa ng'ombe...Cow

Hii si kenya wala Rwanda not to say Uganda....leave our president alooooneeeee.....!!!!!!

Fitina imeanza rasmi...anaona Tz bado tuko kwenye good terms na Kenya...anakaanga sumu...mwache tutamywesha mwenyewe....

Maana sasa hivi Rais wetu hana uhuru wa kuongea na yeyote toka nchi ya jirani...akifanya hivyo anataka kuua au kupindua serikali ya watu fulani....kweli mtajuta kuikaribisha Rwanda EA...have never seen nchi inayo personalize issue za kitaifa kama afanyavyo huyu PaKa....

I think "I will hit you" is behind the whole idea trying his best to sideline Tanzania, and if possible at all, to kick TZ out of the community. I doubt if this is really true. the source doesn't bother seeking opinions of people in question here.
 
Matatizo ya kuwa na viongozi waswahili, umbea kwa sanaaa!!! Sasa nataka IKULU watoe tamko la kukataa hii habari ya DAILY POST!!!! Movie ndiyo imeanza!!!

Kama ni kweli hii basi kweli Kikwete atakuwa amezidi uswahili....kutetateta tu wenzake ndio maana wenzake wanamtenga...
 
Cheap propaganda...watafute fitina nyingine....

Naona JK anawanyima usingizi hawa viongozi wa ng'ombe...Cow

Hii si kenya wala Rwanda not to say Uganda....leave our president alooooneeeee.....!!!!!!

Kikwete awanyime usingizi kwa lipi?kwa umbea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…