Rais wa Matajiri
JF-Expert Member
- Sep 14, 2018
- 1,522
- 643
- Thread starter
- #41
Verse versa is TrueMkuu AGGGOT TZ , kwanza asante kuleta mada hii, na huu ndio uzuri wa jf, kila mtu yuko free kuleta mawazo yake na yataheshimiwa, hivyo hata mimi hapa naheshimu mawazo yako ila pia nakuelimisha maana kuna vitu inawezekana huvijui kuhusu ubeberu na kudhani ukisaidiwa tuu ndio ukubali kufanyiwa kila kitu.
Mimi ni Mwalimu Paskali
- Beberu ni nani na ubeberu ni nini na kwanini nchi iitwe beberu?. Beberu ni mbuzi dume, huwa anazungukwa na majike wengi, huyo beberu anapotaka, haombi bali anajichukulia tuu kitemi, kibabe. Hivyo ubeberu ni tabia ya nchi moja kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine kibabe, kitemi kwa kuilazimisha hiyo nchi kufanya anachotaka beberu vinginevyo beberu atamfanya kwa nguvu.
- Kwa lugha ya Kiingerere ubeberu ni imperialisms na ndio the highest stages of capitalism, mabeberu ni imperial powers na nchi ya Marekani ndio kubwa la mabeberu!. Ubeberu huu uko wa aina tatu, political imperialism, economical imperialism na social imperialism.
- Kwa vile ubeberu ni tabia chafu na mbaya, mfano wewe ni masikini wa kutupa unaeishi kwenye lindi la umasikini, akatokea tajiri kukusaidia kukupa chakula masherti ya msaada wake kwako ni pamoja na kukusaidia kum service hadi mkeo, jee utakubali tuu kwasababu ni masikini?.
- Au kwa vile una njaa sana, usipopata chakula utakufa njaa, anatokea tajiri anakutupia chakula kama mbwa, anakutupia kitumbua kwenye mchanga wewe unakiokota, unakifuta mchanga na kukila, utamsifia aliyekutupia chakula au utatunza heshima yako na utu wako na ikibidi kulala njaa utalala njaa kuliko kudhalilishwa!. Japo ni masikini lakini unakuwa ni masikini jeuri.
- Kubwa la mabeberu aliyataka mafuta ya Iraq, akalobby lobby kwa Saadam akashindwa, akamsingizia Iraq ina WMD, yeye na washarika wake wakamtandika Saadam na sasa mafuta ni kama yao. Je what the Americans did in Iraq, is it right?. Is it justified?. Huu ndio ubeberu!.
- Baada ya kumuona Gadafi analiughanisha bara la Africa ndilo Bara linaloongoza kwa rasilimali duniani ila pia ndilo bara linaloongoza kwa umasikini. Akaamua Africa tuungane tuunde Bank of Africa, tuachane na WB. Tuunde Africa Monetary Fund tuachane na IMF.
- Mawasiliano yote Africa lazima yapite kwa mabeberu kwanza. Kupiga simu Rwanda, simu hiyo lazima kwanza ipite London, Paris, ndipo ije Kigali. Gadafi hajasema huu ni upuuzi, akapandisha Satellite angani Africa tuachane na ITU. unajua kilichotokea?.
- Ni kweli Marekani na mabeberu wengine ni rafiki zetu, ni nchi rafiki, nchi Wafadhili, development partners, na wakitusaidia tunawashukuru sana.
- Lakini pia ndio hawa hawa wanaotuingilia mambo yetu ya ndani, kwa kutupa misaada yenye masherti. JPM alikataa Jee anajua kwa hakika what happened to him?.
- Naamini nimekuelimisha vya kutosha kuhusu mabeberu na ubeberu na kukuomba sana usiwe kibaraka wa mabeberu, kuwa mzalendo kwa nchi yako. Nakuachia na links ya kukuelimisha zaidi.
Rejea
US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, kama ni kweli US/EU walimtoa Saadam Hussein kwa uongo wa kusaka WMD, kisha wakamtoa Ghadafi madarakani kufuatia kuwaunganisha Waafrika, na Mugabe wakamtoa kwa ku over stay?, kufuatia JPM anavyotetea rasilimali za nchi yetu tusiendelee kunyonywa, kufisadiwa...www.jamiiforums.com
Hata Nyerere alikataa, Rais Magufuli usikubali, shikilia msimamo. Tanzania tusikubali misaada na mikopo yenye masharti kuingilia sovereignty yetu
Wanabodi Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Sisi watu sekta binafsi, tunaotegemea tenders, kuna siku unaamka asubuhi, huna tenda, huna kazi, huna hili wala lile, uko kitandani, ndipo unaamua kuamka na Jf, wakati ukisubiri saa 12:00 asubuhi uanze kusikiliza morning...www.jamiiforums.com
Rais Magufuli, please don't bow down kwa hawa mabeberu wa US na EU, waeleze Tanzania ni nchi, a sovereign state
Wanabodi, Hili ni bandiko la kuhamasisha uzalendo wetu kwa sisi Watanzania wazalendo wa kweli wa taifa hili ambao tusingependa kuona uhuru wa taifa letu unaingiliwa na taifa jingine lolote au mtu mwingine yoyote. Huu ni wakati wa sisi Watanzania wazalendo wa kweli wa taifa hili kusimama as one...www.jamiiforums.com
Tanzania ni nchi huru, a Sovereign State, Mahakama zetu ni huru? Hizi ndizo hukumu zetu za haki, who the hell is Marekani kutuingilia? Je, tukubali?
Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa kuzungumzia Maslahi kwa Taifa, huwa nazungumza. Watanzania wenzangu, tuwe watu wa shukrani kwa yote, kukifanyika mazuri tushukuru, na hata kwa mabaya tushukuru, huwezi jua, hii hukumu ya kina Mbowe japo imegeuzwa ni mtaji, lakini tushukuru. What...www.jamiiforums.com
Japo Beggars Can Not Be Choosers, Tuache Siasa Kwenye Uchumi. We Have to Choose Or. ..
Wanabodi, Naomba kwanza kukiri kuwa mimi sio mchumi, ila ninasoma tuu hoja za wachumi katika economical direction of our nation, the opportunities we have and how do we grab them for our advantage we are not on the right track! . Japo sisi ni ka nchi masikini as beggars as we are, na kuna msemo...www.jamiiforums.com
No free lunch