EAC Tanzania kinara kuvutia Wa-USA

Verse versa is True
No free lunch
 
Nitakujibu mkuu nitakapotulia otherwise thank you for your attention
 
Kazi nzuri
 
Kazi nzuri sana
 
Ila hujapinga hoja yangu kuwa Tanzania imepata rais wa kihistoria
 
So what? Kuna haja ya kupanua darasa la FDI Inwards na Outwards zinavolink na BOP katika uwekezaji wa nchi na nchi

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo $1.5BL mbona kidogo sana kwenye nchi kubwa hii, yenye watu karibu milioni 60 na rasilimali nyingi? Yaani ukilinganisha utajiri wa mtu kama Bill Gates ambao ni karibu na $138BL inamaanisha Marekani walichowekeza hapa ni chini ya asilimia 2% ya utajiri wa mtu Bill Gates. Sisi bado sana.
 
Mzee Mayala,
 
Kazi iendelee Mama
 
Bila ya matatizo aliyosababisha marehemu, miaka hiyo mitano illiyopita, ingeikuta Tanzania ikiwa kwenye kiwango cha juu sawa na Botswana, Namibia, na kwa karibu na Nigeria na South Afrika.

Uwekezaji ulikuwa unakua kwa 28% kabla ya marehemu. Akauporomosha mpaka 4%!!!

Utawala wa Kikwete was not the best, lakini kwa Magufuli, tukaangukia kwenye utawala mbaya kupindukia. Itatuchukua zaidii ya miaka 15, kuondoa madhara aliyosababisha.

Kuna watu wajinga, wanafurahia kwa marehemu kusababisha idadi kubwa ya machinga kuliko kipindi chochote, bila kutambua kuwa umachinga ni matokeo mabaya ya kuua uwekezaji ambao ungetengeneza ajira nyingi kwa watu wetu.
 
Kwa hiyo hiyo tafsiri yako, ni ubeberu ndio ulioubadilisha uchumi wa China kutoka hohehahe mpaka kuwa uchumi wa kisasa. Leo China ndiyo nchi inayoongoza kwa kuvutia uwekezaji toka Ulaya na America. Ni ubeberu ndio ulioifanya South Korea ionekane kama mbingu, na North Korea kuwa jehanamu. Ni ubeberu huo huo ndio ulioifanya Brazili miingoni mwa chumi 7 kubwa Duniani. Ni ubeberu unaowafanya Waafrika kukimbilia South Africa kutafuta maisha.

Kama ubeberu unaweza kufanya haya yote, kama ubeberu imeifanya China, taifa lenye watu wengi Duniani, kuutafuta na kuukumbatia, nasi tufanye hivyo hivyo kwa sababu kuna faida kubwa zaidi kuwa karibu na beberu kuliko kujitenga naye.

Marehemu alitulisha uwendawazimu. Akatudanganya kuwa sisi ni matajiri. China lilipopelekwa pendekezo UN kuwa iingizwe kwenye nchi tajiri iligoma kwa maeezo kuwa wananchi wake wengi bado ni maskini. Pato lao kubwa ni kutokana na ukubwa wa nchi na uwingi wa watu na siyo kutokana na kipato kikubwa cha wananchi wake.

Kwetu, mjinga ambaye hata kununua pikipiki anajifikiria mara 2, anaambiwa ni tajiri, anakenua meno na kukubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…