Jah bless JF-Expert Member Joined Jan 24, 2013 Posts 276 Reaction score 463 Jun 21, 2014 #1 habari raia wema, binafsi nina mkanganyiko kichwani mwangu nahitaji kujua uhusiano, matumizi na ushabihiano wa maneno yafuatayo; 1/njozi na ndoto, 2/lakini na yamkini. shukrani.
habari raia wema, binafsi nina mkanganyiko kichwani mwangu nahitaji kujua uhusiano, matumizi na ushabihiano wa maneno yafuatayo; 1/njozi na ndoto, 2/lakini na yamkini. shukrani.