each one teach one

each one teach one

Jah bless

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
276
Reaction score
463
habari raia wema, binafsi nina mkanganyiko kichwani mwangu nahitaji kujua uhusiano, matumizi na ushabihiano wa maneno yafuatayo;
1/njozi na ndoto,
2/lakini na yamkini.
shukrani.
 
Back
Top Bottom