Eagle Alliance Presidential Candidate Peter Kenneth Concedes Defeat

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
35,771
Reaction score
4,065
[h=5][/h]

Eagle Alliance presidential candidate Peter Kenneth has conceded defeat in the presidential race. Kenneth, the Assistant Minister for Planning and immediate former MP for Gatanga, has currently garnered 30,021 votes (1% of the votes) in the provisional presidential results.

Here is the statement he left on his facebook page:

I am privileged and honoured to have had this chance to give Kenyans a choice of leadership. I thank the Kenyan people who believed in my dream to make this country great again and voted for me. I have given this campaign my best efforts.

I respect the will of the Kenyan people.

Kenyans face a difficult time of economic and social recovery in the years to come and I wish the next President of Kenya God’s blessings as he leads us in nation building. God bless you and God bless Kenya.
 
It was clear from the beginning that the race was going to be between Kenyatta and Odinga. Kenneth should have seeked governorship for now.
 
Nimeona tweet moja wanamcheka keneth kuwa kwenye face book ana watu 200,000 wamelike page yake ila hadi sasa kwenye uchaguzi ana kura chini ya 20,000 hivyo moral teaching ya jambo hili ni kuwa dont trust your face book friends. Huyu ni mojawapo ya vibaraka wa ukabila , subiri kama kutakuwa na round ya pili ya uchaguzi utaona takayemuunga mkono
 
Hongera kwa kukubali kushindwa hii ni kauli ya kiungwana. Ubarikiwe
 
Unadhani alikuwa na influence hawa kazi ni kuharibu kura za wanaoonekana vinara ktk chaguzi ni heri angekuwa ktk mojawapo ya kambi akaongeza nguvu
 
Alikuwa anaonyesha ungo wake wa angani kwa walalahoi
 
Nimeona tweet moja wanamcheka keneth kuwa kwenye face book ana watu 200,000 wamelike page yake ila hadi sasa kwenye uchaguzi ana kura chini ya 20,000 hivyo moral teaching ya jambo hili ni kuwa dont trust your face book friends. Huyu ni mojawapo ya vibaraka wa ukabila , subiri kama kutakuwa na round ya pili ya uchaguzi utaona takayemuunga mkono

Amefanya vizuri sana....
 
Huyu aliingia kwenye uchaguzi akijua kuwa mwisho wa uchaguzi atatakiwa kutoa ujumbe wa kukubali kushindwa, there was no other option.
 
Amefanya vizuri sana....

Ben fatilia midahalo yote miwili ya urais kenya, kwa maswali yaliokuwa yakumbana Uhuru huyu bwana keneth alikuwa anakuja na concluding remarks za kiaina ku defend na pia kusafisha njia , naamini yeye kagombea kama technical tool ya kabila lake, hakuna mahali katika kampeni yake kamcriticise uhuru.

Binafsi regardless ya atakayeshinda mama Martha karua atabaki kuwa a brave woman wa mfano, nimemuheshimu sana kwa ujasili wake na hata kampeni yake kwa kuangalia matatizo ya afya ya akina mama, uzazi, maji na uchumi wa watu wa kawaida. On the grass root politics nimemkubali sana mama karua.
Heshima kwa akina mama wote.
 
I concur with you PhD...

Hata kwenye suala la kunyakua mashamba alishindwa kumtaja Uhuru moja kwa moja but Mratha Karua(woman of substance) did it......
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: PhD
Kuwa kwake mmoja wa wagombea alitegemea second rerun kama ingekuwepo kuform alliance na chama kimojawapo kati ya CORD na JUBILEE, sasa yaelekea there will be no second turn
 
Nimeona tweet moja wanamcheka keneth kuwa kwenye face book ana watu 200,000 wamelike page yake ila hadi sasa kwenye uchaguzi ana kura chini ya 20,000 hivyo moral teaching ya jambo hili ni kuwa dont trust your face book friends. Huyu ni mojawapo ya vibaraka wa ukabila , subiri kama kutakuwa na round ya pili ya uchaguzi utaona takayemuunga mkono
Hehehe indeed don't trust you facebook friends.
But sio wote walio m like wako eligible to vote sio?
 
Yawezekana wengine waliompgia like wamezuzuliwa na sura, si unajua tena waafrika wengi wanavyohusudu mtu coloured? Lakini ajaribu tena wakati ujao maana sasa kesha noa kucha zake
 
Back
Top Bottom