Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
Raha sanaKuwa CCM raha sana, mimi nitafia CCM
Wanawaza ujinga gani Kama sio maendeleo ya Watanzania?Kwenye picha unaweza kudhani Wana kitu cha maana vichwani mwao. Kumbe wanawaza ujinga tu.
Hahaha khaaaaHawa wabunge wako huko kwa ajili ya kujamiiana tu. Sijawahi kuona tija ya hili bunge. Siku nikiwa rais nitalifuta.
Ni genge la wahuni tu, hakuna faida yoyote zaidi ya kutafuna pesa za nchi wanachama.Hawa wabunge wako huko kwa ajili ya kujamiiana tu. Sijawahi kuona tija ya hili bunge. Siku nikiwa rais nitalifuta.
Kuwa CCM raha sana, mimi nitafia CCM
Hao wevi waporaji wa kura watawaza maendeleo ya Watanzania. Yaani mwizi awaze maendeleo yako badala ya kuwaza namna ya kukuibia?Wanawaza ujinga gani Kama sio maendeleo ya Watanzania?
mtakufa na dhambi zenu za wiz wa kura kama mungu wenu hebu nenden mkamuulize saiv kama anaraha huko aliko.Raha sana
Eti siku nikiwa rais, khaa! 🙄...Siku nikiwa rais nitalifuta.
Mwezi mchanga huuEti siku nikiwa rais, khaa! 🙄
Tanzania bara ni wapi?WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI ( EALA ) WAAPA KIAPO CHA UAMINIFU
Katibu wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Bw. Alex Obatre ameongoza zoezi la kuwaapisha wabunge wapya kutoka Nchi Wanachama saba ambazo ni Tanzania, Burundi, Kenya, Uganda, Rwanda, Sudan Kusini, na Kongo DRC.
Viongozi mbali mbali wakiwemo Mawaziri, wabunge, maspika wastaafu wa bunge hilo, viongozi wa wandamizi wa serikali na viongozi wa kisiasa wamehudhuria hafla hiyo akiwemo Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Cde Abdulrahman Kinana pamoja na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka.
Asante Sana Crde JUMA JUMAWABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI WAAPA KIAPO CHA UAMINIFU
Katibu wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Bw. Alex Obatre ameongoza zoezi la kuwaapisha wabunge wapya kutoka Nchi Wanachama saba ambazo ni Tanzania, Burundi, Kenya, Uganda, Rwanda, Sudan Kusini, na Kongo DRC.
Viongozi mbali mbali wakiwemo Mawaziri, wabunge, maspika wastaafu wa bunge hilo, viongozi wa wandamizi wa serikali na viongozi wa kisiasa wamehudhuria hafla hiyo akiwemo Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Cde Abdulrahman Kinana pamoja na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka.
Matukio katika Picha🕹️
View attachment 2452211View attachment 2452212View attachment 2452213View attachment 2452214View attachment 2452215View attachment 2452216View attachment 2452217View attachment 2452218View attachment 2452219View attachment 2452220View attachment 2452221View attachment 2452222View attachment 2452223View attachment 2452224